fursa_kwetu

fursa_kwetu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fursa_kwetu, Education, Mwenge, Dar es Salaam.

οΏ½ Njoo ujifunze namna ya kuzalidha kipato Cha ziada, nje ya ajira au biashara zako na kwa wasio na biashara tunawafundisha biashara ya kuanza kwa mtaji mdgo ambayo itawaletea mafanikio.

14/06/2022

Muda Ni rasilimali muhimu Sana laiti ungeweza ungetembea naonkwa speed zote...

Je, ulipanga lini kuanza kuzifuata ndoto zako?

Anza Sasa muda hausubirishwi. Usije kuzinduka wenzako wamefika tayari😁...

Njoo ujifunze biashara bure Kabisa

Tuma neno BIASHARA

Namba
πŸ“²πŸ“ž. 0789523010




14/06/2022

Fanya vizuri upongezwe bila kinyongo...

Biashara yetu ukifanya vizuri kila mmoja anakupigia makofi bila kinyongo..

Jez wewe unapenda Nini...

Njoo inbox uniambieee..nipo online muda huu




14/06/2022

International business builder...
Wanaume hayupo nyuma tunaifanya full time kwa nguvu zote..

Wafanya biashara wenye maono makubwa wameuanza hii biashara na wame invest pesa nyingi Sana ...

Unaependa kuwekeza na kuongeza kipato chako. Njoo imbox tuongee vizuri....

Tuma tu neno BIASHARA

πŸ“²πŸ“ž 0789523019

14/06/2022

Wadada waliofanya maamzi mapema ya kuanza kujifunza hii biashara...

Wengine walikuwa waalimu, wengine mama wa nyumban, wanachuo na wahitim...

Kwasasa wote hawa walijistaafisha wao wenyewe baada ya kuona kipato Chao Cha biashara Ni zaidi ya ajira zao..
Je, wewe Ni unajishughulisha nanini...?

Hii biashara unaihitaji Sana na itakuongezea kipato kwa kias kikubwa Sana kamatu utakuwa serious..

Tuma neno ""BIASHARA""
Nami nitakupa maelekezo

πŸ“²πŸ“ž. 0789523010




13/06/2022

Nahitaji watu wachache mno walioserious Sana wenye mtaji na waliotayari kufanya kazi..

Waaminifu na waadilifu

Mikoa yote Tanzania..

Ikiwezekana wafike nane tu kwa mwezi huu.

k**A UPO DAR ES SALAAM TUNAWEZA KUPANGA APPOINTMENT..

Mikoani tutapeana utaratibu

Tuma neno "BIASHARA".
Niambie jina lako, ukowapi na unajihusisha na Nini kwa Sasa...

πŸ“²πŸ“ž. 0789523010
Au 0753022359

13/06/2022

Vile team yetu iko too excited..
Baada ya kuielewa biashara kinachofuata nikusaidie wengine kuielewa Sasa..

13/06/2022

super grandma@

Mungu akupe maisha marefu hakika umetununza vema katika kuendelea kuijenga hii biashara kubwa.....πŸ€πŸ‘πŸ‘




12/06/2022

Siku nilipo ianza hii biashara niligungua Nina madeni mengi Sana...

Hatawewe una madeni mengi Sana ...

kwanza kabisa...
kunawatu wanasubiri uanze biashara Kisha ukawasaidie kuifahamu K**a ambavyo Mimi nakusaidia wewe kuifahamu..

Deni la pili...
Ni Yale malengo na ndoto zako ambazo kila ukiwaza utazifikia vipi bado hauoni namna au unakosa ukakika wa kufikia Yale maisha unayopenda kuyafikia...

Sasa Nini ufanye ili yote haya uyafanikishe...?

Jibu, Ni kuanza biashara hii kwasababu sifa zake kuu Ni hizi
✍️ Haina mpaka wa kiwango Cha mapato
✍️ Haifi na hata mtu mwingne utaweza kumrisisha
✍️ Hautumii rasilimali nyingi ..
Yaani haihitaji duka, Wala kulipa Kodi mbalimbali inakuhitaji wewe tu.
✍️ Haiingilii ratiba Wala haiharibu kabisa ratiba zako nyingine.
✍️ Inakupa nafasi ya kumsaidia mwingine nae kuanza
✍️ Mafunzo yakuhusi biashara mpaka maisha halisi unapewa buree

Je, Ni sababu ipi inaweza kusababisha jibu la hapana???

Wewe ulietayari kuanza kulipa madeni yako njoo imbox kwa kuandika ....
Neno ""BIASHARA"'




12/06/2022

UTAFANIKIWA SANA K**A UTAACHA KUSIKILZA HIZO SAUTI NYINGI...

Watu wenye maamzi ya haraka baada ya kuziona fursa sahihi za mafanikio ndiyo hufanikiwa kwa haraka...

Madarasa ya namna yakuianza hii biashara na namna ya kuiendesha huwa yanatolewa bure kabisa na waliotayari huwa wanaendelea kujifunza Zaidi...

Wewe kwanini useme ningumu kuanza hii biashara???

Unaweza kufanikiwa Sana kulingana na ufaham wako ....fanya tu maamzi.leo

Njoo imbox kwa kuandika neno ""BIASHARA""

Nami nitakujibu haraka Sana na tutaanza mapema sana...

Mawasiliano
πŸ“²πŸ“ž. 0789523010
Au. 0753022359












12/06/2022

Hii Ni Biashara ambayo watu wanaokuzunguka wanaopenda kukuona ukifanikiwa na kila mtu yupo tayari kumsaidia mwenzake kuinuka....

Tunafanya kazi K**a team.. kitu kikubwa unacho hitaji kukizingatia ni utayari wa kujifunza tu...

Itakusaidia Sana kuzifikia ndoto zako haijarishi unapitia Nini kwa Sasa...

Njoo imbox kwa kutuma neno ""BIASHARA""

Nami nita kutafuta tuweke Mambo vizuri ukaanze soon

Piga sim/ ujumbe WhatsApp

πŸ“²πŸ“ž. 0789523010




.

11/06/2022

Nina familia kubwa ambayo wote tuliiamini na tukaianza hii biashara tukiamini kuwa itatufikisha kwenye ndoto zetu...

Kila mtu anatembea kwa speed yake lakini wote lengo nikifuka na tunapata tulicho kihitaji..

Huenda wewe pia una ndoto zako ambazo hujazitimiza Sasa hii ni fursa ambayo inahitaji utayari wakotu wakujifunza na kujituma inayoendana na Karne ya 21 tumia mitandao kuinua kipato Sasa....

Nani mwingien anataka kuanza hii biashara nimshike mkono??

Nitumie neno "BIASHARA"
Kwenda namba....

πŸ“²πŸ“ž 0789523010
0753022359




.

11/06/2022

SOMA STORY HII....
madam STERA...

STERRA.... anasimulia story yake ..
Yeye baada ya kumaliza masomo ya chuo kikuu miaka michache iliyopita aliamini kuwa atakutana na ajira kwa haraka K**a ilivo kwa wahitimu wengi kufikiria hivi...

Lakini baada ya kumaliza chuo Mambo yalikuwa tofauti ajira haikuwepo alikaa miaka kadhaa nyumbani na akaamua tu kuolewa maana alitafuta ajira mpaka akachoka ...

Baada ya kuolewa alifanikiwa kupata watoto watatu na hii ikamfanya kuwa mama wa nyumbani..
Lakini baadae aliamua kuanza kujihusisha na biashara za umachinga wa kuuza vitu vya urembo urembo maofisini na mahotelini...

KWELI MUNGU ANANJIA ZAKE BWANA..
Katika biashara hii ya umachinga STELLA ndipo alikutana na hii fursa ya biashara na baada yakukubali kuanza kujifunza ili badilisha kila kitu kwenye maisha yake ameweza kusafirishwa na kampuni sehem mbalimbali duniani na kwa Sasa natengeneza kipato kikubwa Sana kwa mwezi...

Hebu fumba macho itazame ndoto yako Kisha itazame historia yako...
Je umesikia sauti gani???

Maamzi ya siku moja tu yanaweza kubadili picha nzima ya maisha yako...

Kujua namna yakuianza hii biashara naomba nitumie neno ""BIASHARA"" nami nitakupa maelekezo kamili

πŸ“²πŸ“ž. 0789523010
Au. 0753022359

#


Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Mwenge
Dar Es Salaam
255