21/12/2024
Cutefaa Herbal
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cutefaa Herbal, Personal coach, Kiwalani, Dar es Salaam.
Ni mkusanyiko wa Wataalamu wa dawa za asili wanaowasaidia kwa kutoa elimu na huduma kwa wanawake wote wanaosumbuliwa/wenyechangamoto mbali mbali k**a: Matatizo ya Uzazi, Vidonda vya tumbo na mengine k**a hayo.
21/12/2024
10/09/2024
HATUA NNE TU! "UNAPATA UJAUZITO HARAKA NA SALAMA"
Huenda umekuwa ukijaribu kwa mda mrefu kupata ujauzito bila mafanikio!!, bila shaka hali hii inakuskitisha na kukata tamaa!!.
Tafadhali usikate tamaa!! . Tunalo suluhisho rahisi na la haraka linaloweza kubadilisha maisha yako ndoani.
Kupitia mafunzo yetu maalum yanayotolewa bure kupitia Watsap, tutakuonyesha njia bora zaidi za kufanikisha ndoto yako ya kuwa Mama.
Hebu fikiria,! Furaha ya kushika ujauzito na kujua kuwa hatimae utaitwa mama!!. Na ni hatua NNE tu!!
Mafunzo yetu yameundwa kwa weledi ili kukupa mbinu zinazofanya kazi kweli!! kwa wanawake wengi k**a wewe.
"Usikose Fursa hii yakipekee!!"
Jiunge nasi leo kwa mafunzo na ushauri wabure kwa kutuma neno "NIPO TAYARI" kupitia Watsap namba 0776 233 99133991, na uanze safari yako ya kuwa MAMA kwa kupata msaada wakitaalam kwa ajili yako.
Au bofya link hii hapa chini kuja moja kwa moja whatsapp.
https://wa.me/message/BX2AZT77F66XG1
Safari yako ya kupata Uja uzito inaanza Sasa!
CuteFaa Herbal and Nutrispices wapo kukupa Furaha♡♡
09/09/2024
Fursa ya Kipekee kwa Wanawake: Jifunze Njia 5 za Kubeba Ujauzito Bure!"
Iwapo umekuwa ukijitahidi kupata ujauzito baada ya kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango bila mafanikio.
Tunakusaidia! Tunatoa huduma maalum kwa wanawake k**a wewe kwa kuhakikisha njia tano za kubeba ujauzito zipo sawa.
Jifunze njia hizo bure kupitia mafunzo yetu ya kina kupitia WhatsApp.
Usikose nafasi hii muhimu ya kupata mwongozo na msaada wa kitaalam.
Jiunge nasi sasa! kwa kutuma ujumbe NIPO watsap namba 0776 233 991 au piga moja kwa moja kwa dokta +255719677252
Au bofya moja kwa moja kuingia watsap:
https://wa.me/message/BX2AZT77F66XG1
13/11/2023
HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WANAOTAFUTA UJAUZITO
K**a ulikuwa ukihangaika kwa mda mrefu kutafuta kubeba ujauzito bila mafanikio, sasa suluhisho limepatikana.
CUTEFAA HERBAL ni wataalam tunaowasaidia wanawake wenye changamoto ya kushindwa kubeba ujauzito kwa mda mrefu kwa kutumia Lishe, Virutubisho pamoja na Tiba Asili bila kujali changamoto yako imesababishwa na nini.
Tumekuandalia Free Program (Program ya Bure) kwa muda wa siku 7 mfululizo itakayokusaidia kupata faida zifuatazo;
1. Namna sahihi ya kujiandaa kisaikolojia ili uweze kupata ujauzito.
2. Kuelewa kwa undani vyanzo na sababu vinavyopelekea kutopata ujauzito.
3. Mambo yatakayokusaidia kuepuka hivyo vyanzo na sababu vinavyopelekea kutopata ujauzito.
4. Hatua muhimu za kufuata ili uweze kupata ujauzito.
K**a umevutiwa kujiunga na Free Program (Program ya Bure) yetu, bofya kitufe cha Whatsapp chini ya tangazo hili au tuma ujumbe wenye neno "UJAUZITO" kwenda namba 0719 677 252
Au bofya link hii kuja moja kwa moja whatsapp:
https://wa.me/message/ZVQADVMJIXRHD1
16/09/2023
HABARI NJEMA KWA WANAWAKE WANAOTAFUTA UJAUZITO.
K**a ulikuwa ukihangaika kwa mda mrefu kutafuta kubeba ujauzito bila mafanikio, sasa suluhisho limepatikana.
Sisi ni CUTEFAA HERBAL ni wataalam tunaowasaidia wanawake wenye changamoto ya kushindwa kubeba ujauzito kwa mda mrefu kwa kutumia Lishe, Virutubisho pamoja na Tiba Asili bila kujali changamoto yako imesababishwa na nini.
Tumekuandalia Free Program (Program ya Bure) kwa muda wa siku 7 mfululizo itakayokusaidia kupata faida zifuatazo;
1. Namna sahihi ya kujiandaa kisaikolojia ili uweze kupata ujauzito.
2. Kuelewa kwa undani vyanzo vinavyopelekea kutopata ujauzito.
3. Mambo 3 yatakayokusaidia kuepuka hivyo vyanzo vinavyopelekea kutopata ujauzito.
4. Hatua 3 muhimu za kufuata ili uweze kupata ujauzito.
K**a umevutiwa kujiunga na Free Program (Program ya Bure) yetu, bofya kitufe cha Whatsapp chini ya tangazo hili au tuma ujumbe wenye neno "UJAUZITO" kwenda namba 0719 677 252
Au bofya link hii kuja moja kwa moja whatsapp: https://wa.me/message/ZVQADVMJIXRHD1
07/06/2023
Mvurugiko wa Homoni.
Mvurugiko wa homoni.katika.mwili wa mwanadamu unasababishwa na moja kati ya mifumo 5 ya mwili wa binadam.
Unapofeli.mfumo mmoja.wa.mwili mfano mfumo wa.mmengenyo wa chakula unaweza kusababisha gesi, vidonda vya tumbo nk
kwa hiyo hata vidonda vya tumbo hutokana na mvurugiko wa homoni.
Mvurugiko wa homoni pia unasababisha matatizo.kam pressure, ugumba nk
ninalotaka kukuthibitishia.ni kwamba huu mvurugiko wa homoni unatibika, hata iwe umekusababishia tatizo gani.
k**a upo tayari njoo inbox +255773109327 kwa msaada.
21/05/2023
WAPENDWA,
MVURUGIKO WA HOMONI NI TATIZO LINASABABISHA TAKRIBAN ASILIMIA 80% YA MATATIZO YOTE MWILINI.
NA LINATIBIKA SANA TU.
"Cute Faa Nutri Spices"
WANAKUHAKIKISHIA KUKUSAIDIA KUONDOA TATIZO LAKO KWA MUDA MFUPI,
HAIJALISHI NI;
PRESSURE,
SUKARI,
MIVIMBE,
HUZAI,
PUMU,
MAUNGIO (JOINTS),
VICHOMI, MATATIZO YA NGOZI , GAS,
KUCHOKA MDA WOTE HATA K**A UNARUDI KUAMKA NK.
WASILIANA NASI KWA NAMBA;
+255773109327 AU 0719677252
JITAYARISHE KUITWA MAMA NA URUDISHE FURAHA YAKO.
21/09/2022
Cutefaa Herbal ni wataalamu wa dawa za asili wanaowasaidia kwa kutoa elimu na huduma kwa wanawake wote wanaosumbuliwa/wenyechangamoto mbali mbali za Uzazi,
Karibuni Nyote ❤
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Kiwalani
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |
08/12/2024