Chakula dawa

Chakula dawa

Share

Tunawasaidia wanawake kuondokana na changamoto ya bawasili kwa lishe bila ya kutumia dawa za kemikal

24/04/2022

Haya matunda Nani aseme hatari yake kwenye utumbo kupata kansa

24/04/2022

Nani Yuko tayari kujua ni vitu gani afanye aondokane na tatizo la Bawasili?

Comment hapo chini

07/04/2022

Leo ni leo, nataka nitoe zawadi Kwa mtu atakaeleza vizuri bawasili.

πŸŒ€πŸŒ€Twende....πŸ‘‡πŸ‘‡

05/04/2022

Unapo Kula sharti upate Choo.

Watu wengi wanakula lakini hawapati Choo, hata wakipata kinakuwa cha kusuasua.

Unatakiwa unapokula Milo mitatu upate Choo mara tatu.

Unakuta unapata Choo mara moja na Choo chenyewe ni vipingili, tambua uko hatarini kupata Dalili za awali za bawasili.

Sasa saizi ya Choo unachotakiwa ukipate kuendana na afya nzuri Choo chako kilingane na ndizi.

Choo kinacholingana na ndizi maana yake mfumo wako wa mmeng'enyo Wa chakula uko vizuri.

Choo kinachotoka pingili pingili, na kigumu kinaonesha mfumo wako wa mmeng'enyo Wa chakula sio mzuri na unahitaji ushauriwe Nini cha kufanya kuepukana na hio hali.

Kupata ushauri huo m'follow au

Mtumie ujumbe WhatsApp +255666415322 Kwa msaada wa haraka.

05/04/2022

Ni miaka mingi wataalam wamekaa maabara kulijadili hili.

Lau k**a kungalikuwa na dawa ya bawasili kusingekuwa na upasuaji unaofanywa kila siku mahospitalini.

Kutokana na hayo tunatoa ushauri wa namna ya kutumia lishe maalum ambayo itakuepusha na adha hii.

Katika vyakula Kuna virutubisho na madini maalum ambayo yanahusika na kulainisha mmeng'enyo Wa chakula na....

...kuufanya mfumo wako uteleze vizuri wakati wa mmeng'enyo Wa chakula.

Hivyo Huwezi kukosa Choo Kwa Siku Mzima Jambo ambalo ni hatari ikiwa unakula vizuri.

Inakadiriwa kirutubisho ambacho kimeandaliwa ni Sawa na Sahani zaidi ya tatu zilizo jaa za mboga za majani.

Mda wote Kwa huduma na ushauri wa namna gani utaweza kutumia vyakula hivi wacheki au

WhatsApp Kwa haraka +255655415322

02/04/2022

UKIWA NA BAWASII UNAKUWA K**A MFUNGWA

Unashangaa!!!

Sijui ni Kwa kiasi gani unaweza kuvumilia maumivu k**a haya.

'Ni Sawa na Pale unapotupwa jela bila kujua ni ipi sababu ya wewe kuhukumiwa'

Hivyo hivyo unapokuwa na bawasili, unakuwa uko mahabusu unasubiria hukumu.

Yanayoletwa na bawasili unatakiwa uyaheshimu Sana ili uweze kuishi Kwa Amani

Bawasili inakuondolea kujiamini Kwa zile hali za kupata maumivu makali sehemu ya haja kubwa.

K**a utakuwa unajizuia kukusaidia maana yake unaacha uchafu ubaki ndani ya mwili ambapo ni hatari Sana.

Lakini ipo njia Pekee ambayo itaweza kukunasua kutokana na hali hii ya ufungwa

K**a makala hii umeipenda Tu'follow .mgoro au

Tucheki WhatsApp Kwa namba 0655415322

02/04/2022

Leo nimeumwa mpaka nimekoma ubishiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Ama kweli! Sikio la kufa halisikii dawa.

Mwili wangu unapata shida ninapokunywa kinywaji cha baridi usiku

Ila kutokana na kupenda kinywaji hicho 'x' imetokea nimekutana nacho usiku..

...tena kikiwa cha baridi na hali yangu naijua.

Lol! Bila kujali mi nikapiga vizuri tu, hee Sasa hapa nilipo nahemea juu juu.

Kumbe ndio maana wazinzi ni ngumu kuacha, au welevi ni ngumu kuacha, au wapiga punyeto ni ngumu kuacha...daah!

Lakini hivyohivyo watu wanene ni ngumu kuacha vitu vinavyowaongezea unene. Ila leo..

..naamini utaacha kujiongezea unene Kwa kujua haya nitakayokueleza hapa

Unene uliopitiliza unaleta athari kubwa Sana kwenye mishipa ya damu na hasa ile iliyopo sehemu za chini za mwili.

Unene huo unazibana mishipa hio mpaka kuzuia damu isipite kutoka sehemu za chini kuja juu.

Damu hii inayozuiliwa inajikusanya na kutengeneza vipele vinavyokua katika sehemu za haja kubwa (ndani, mlangoni na nje)

Vinyama hivi wengi wanavijua k**a bawasili na wengine wakiviita mgoro.

Na kundi kubwa la watu wakishapatwa na hali hio hawasemi, wanakaa na Hilo tatizo na k**a ni......

.... mwanamke Kuna style za kufanya mapenzi atakuwa hazitaki kabisaaa kuhofia kuonekana kinyama hicho.

Na inafika mahali anaamua kwenda hospitali kukikata hali ambayo haitatui Hilo tatizo kwasababu hajaondoa mzizi wa tatizo, kitaota tena.

Sasa leo nataka nikuambie namna Pekee ya kuondokana na adha hii Kwa njia rafiki bila kutumia upasuaji wala dawa za kemikali.

Kuipata njia hio nicheki WhatsApp Sasa hivi niandikie njia rafiki

0655415322

27/03/2022

Linapokuja suala la kujamiiana na mke au mumeo, Uhuru wenye mipaka unazingatiwa.

Sasa zipo mitindo mizur ambayo watu wanaipenda kulingana na jinsi walivyo.

Tofauti na kipindi Fulani hapo nyuma cha korona, hili lilikuwa gumzo Sana.

Kutokana na mabadiliko makubwa yanayopatikana kwenye mwili wa mwanamke k**a ujauzito, ..

.. Wanawake waliowengi wanapata tatizo la bawasili aidha Kwa ujauzito, unene au nature ya kazi anayofanya.

Tatizo hili la Kuota kinyama sehemu ya haja kubwa na kikatokeza Kwa nje linawanyima Uhuru watu Hawa.

Linapokuja suala la mapenzi kumekuwa na udhuru mwingi na visingizio vingi ili kutoshiriki tukio Hilo.

Ikabainika kwamba katika faragha ya mapenzi, wanawake wenye tatizo Hilo hawaipendi style ya doggy.

Style hio kitaalam inafaida kisayansi juu ya upatikanaji wa mtoto lakini kwao imekuwa chungu.

Kwasababu hio, moja ya mahabusu nzito Kwa wanawake wenye tatizo hili ni Wayne zao kuhitaji mtindo huo.

Huwa hawaupendi kwasababu unnafichua kile kinyama kionekane na kumuondolea urembo mbele ya mumewe.

Ikiwa tatizo hili la bawasili linakuathiri zaidi ya hapo njoo Tu'follow .mgoro au

Njoo WhatsApp +255655415322 ili tukushauri namna gani nzuri ya asili utakavyoondikana na adha hio.

27/03/2022

Ni ukweli ulio wazi kabisa...

Inasadikika kutokuwa na uwezo wa wanaume kuwapa mimba wanawake kisa ni.....

......uwezo duni wa kupandisha mbegu kutoka kwenye korodani.

Hii imekuwa maarufu na Kwa kiwango kikubwa Kwa kila mwanaume mwenye bawasili.

Hii ni kwasababu misuli inayokaza na kurahisisha Hilo, ipo kwenye njia ya haja kubwa.

Kwahio wanaume woote wa aina hii..

Wako hatarini kuwa hanisi iwapo hawatakuwa tayari kufuata nidhamu ya muongozo ninaoutoa darasani kila Siku

Muongozo muhimu kuliko yote niliyowahi kuitoa na imeleta matokeo Kwa waliotayari kuufuata.

K**a nawe unapitia wakati k**a huo m'follow .mgoro au

Mtumie ujumbe kulipata darasa Hilo WhatsApp 0655415322

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam