Louis Montfort Secondary School

Louis Montfort Secondary School

Share

Louis Montfort Sec School Ni Shule ya Bweni, Tupo Yombo Vituka Dar es Salaam Tanzania

Photos from Louis Montfort Secondary School's post 13/03/2026

πŸ’» Montfort Computer Course – Computer Applications

Je, unataka kujifunza matumizi muhimu ya kompyuta kwa kazi, biashara au masomo? Montfort tunatoa mafunzo ya vitendo yatakayokupa ujuzi unaohitajika katika dunia ya kidijitali.

Utajifunza programu muhimu k**a Microsoft Word, Excel, PowerPoint, pamoja na Graphics Design, Website Design, Video Editing na Motion Graphics.

Jiunge nasi ujenge uwezo wako wa teknolojia na ufungue fursa mpya za kazi na ubunifu.

πŸ“ Yombo Vituka, Dar es Salaam
πŸ“ž +255 764 222 777 | +255 737 580 000

01/03/2026
Photos from Louis Montfort Secondary School's post 24/02/2026

Katika kipindi hiki kitakatifu cha Kwaresma, watoto wetu wanajifunza thamani ya sala, sadaka na kufunga. Ni muda wa kutafakari, kujifunza upendo kwa wengine, na kumkaribia zaidi Mungu kupitia matendo mema ya kila siku. Tunajivunia kuona mioyo yao midogo ikikua katika imani, nidhamu na huruma.

Tunaendelea kuwaongoza sio tu kitaaluma, bali pia kiroho ili wawe watu wema katika jamii.

πŸ™ Wacha Kwaresma hii iwe safari ya baraka kwa kila familia.

18/02/2026

Tunawatakia Kwaresma Njema #2026

12/02/2026

πŸ“£ VISITING DAY β€” 15/02/2026

Karibu wazazi na walezi! Tembeleeni watoto wenu, pokea taarifa za maendeleo yao, Tufike kwa wakati, kwa moyo wa ushirikiano.

πŸ“ Louis Montfort Secondary School, Yombo Vituka

EducationFirst YomboVituka Tarehe15022026

09/02/2026

Teknolojia inaanza darasani! πŸ€–βœ¨

Wanafunzi wetu wakijifunza Robotics kwa vitendo wakibuni, wakitengeneza na kuprogram roboti zao kwa kutumia maarifa ya darasani.
Hapa hatufundishi tu nadharia, tunajenga wabunifu na wahandisi wa kesho. πŸš€

Louis Montfort – Tunakuza vipaji vya Teknolojia mapema.

02/02/2026

We are so proud of you!

30/01/2026

Assembly

24/01/2026

Katika dunia ya leo ya kidijitali, watoto wanahitaji zaidi ya kusoma na kuandika wanahitaji ujuzi wa Teknolojia. πŸ€–

Robotics huwasaidia kukuza ubunifu, fikra pevu (critical thinking), na uwezo wa kutatua matatizo.

Kupitia Robotics, wanafunzi wetu wanajifunza kuunda, kujaribu, na kuvumbua suluhisho za kesho.

Tunawaandaa kuwa wabunifu, wahandisi na viongozi wa kizazi kijacho.

Teknolojia si chaguo tena β€” ni hitaji la maisha ya sasa na ya baadaye.

Photos from Louis Montfort Secondary School's post 22/01/2026

TBT 2022 πŸ“šβœ¨
From then to now, we continue to nurture excellence and character.

16/01/2026

The first week back to school is complete
a great start filled with focus, discipline, and positive energy. Here’s to a successful term ahead!

Photos from Louis Montfort Secondary School's post 26/10/2025

Uongozi wa Shule ya Montfort umefanikiwa kuwapatia watoto wenye ulemavu, bima za afya zitakazotumika kwa kipindi cha mwaka mmoja. Hawa ni watoto (jumla150) wanaohitaji huduma za matibabu mara kwa mara, na baadhi yao huhudhuria hospitalini kila siku.

Ikumbukwe kua gharama za Bima hizi ni michango waliyochanga watoto wetu wa Louis Montfort na Montfort primary kipindi Cha kwaresma na mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu 2025.

Uongozi wa shule unatoa shukrani za dhati kwa Wazazi, Walimu na Wanafunzi wote kwa kufanikisha zoezi hili.

Wazazi wa watoto waliopata bima hizo wametoa shukrani za dhati kwa moyo wenu wa upendo na mshik**ano.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Yombo Vituka
Dar Es Salaam