xam_simba_043
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from xam_simba_043, Education, Dar es Salaam.
08/04/2026
Kishaumana
08/04/2026
"Nimepitia press ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC ya jana lakini kuna baadhi ya mambo yamenipa shaka kwamba inawezekana klabu haina watu smart?
JAYRUTTY ni nani Simba SC? Ni mshindani wa tajiri au ni sehemu ya Simba SC kwakuwa mzabuni wao? Namna alivyokuwa anaelezewa jana ni k**a mshindani wa tajiri kitu ambacho sio sawa.
Siku zote tumekuwa tukiambiwa tajiri anasajili wachezaji wa Simba SC kwakuwa alikuwa anatoa pesa ya usajili, hata juzi tumeambiwa tajiri kamsajili Elie Mpanzu, manake kwamba boss katoa pesa za kusajili.
Lakini Jayrutty kumsajili INNO LOEMBA tunaambiwa yeye katoa tu pesa hajasajili, hajafanya scouting, etc etc. Kwamba tajiri huwa anafanya scouting?
Au na yeye huwa anatoa tu pesa k**a alivyofanya Jayrrutty kwa Loemba? Mwenyekiti wa Bodi aliamua kimshindanisha mzabuni na mwekezaji bila yeye kujua, ndo kusema hawako smart kiasi hicho?
JAYRUTTY k**a alivyo tajiri ni sehemu ya klabu wote wanahitaji mileage kutoka kwa klabu na sio kuzungumzwa kwa kudogoshwa wala kuwashindanisha, kwakuwa wana profiles tofauti ndani ya timu.
Tumesikia Mwenyekiti akisema kuhusu uwanja kwamba Jayrutty anataka kujenga uwanja na zikatajwa 5B, pia ikaongezwa ataleta hizi pesa zifanye mambo mengine na au ziongezwe na mpango wa tajiri ili kiwanja kijengwe.
Kwa uelewa wangu Jayrutty anatekeleza mambo ya kimkataba, kuja kuziongea terms za kimkataba public ni kwenda kinyume na mkataba ambao unataka usiri. Sijui itakuaje lakini nadhani haikuwa sawa.
Jayrutty anajaribu kutegua mtego ambao sasa matajiri wanautumia (tutajenga kiwanja), lakini imekuwa hivyo kwa muda bila mafanikio.
Anakuja mtu anatekeleza mkataba ambao unamlzaimisha kujenga kiwanja anataka kufanya hivyo, anakutana na vigingi, kwamba Simba SC haina watu Smart?
Jayrutty amenunua basi, amenunulia players magari, anatoa mpaka pesa za kusaidia kuendesha klabu wakati fulani, bado huyu ni mbaya au anahitaji kushindanishwa na tajiri kwa kutekeleza yaliyomo kwenye mkataba?
This is how Afrikaans family is Samuel John
France on # 🔥
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam