Daruso Soed account

Daruso Soed account

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daruso Soed account, Education, 9121 DSM, Dar es Salaam.

Photos from Daruso Soed account's post 14/01/2026

Uongozi wa serikali ya wanafunzi DARUSO -SoED kutoka chuo kikuu Cha Dar es salaam Leo Jan 14 2026 wamefanikiwa kufanya mazungumzo na uongozi wa kampuni ya SWIFPACK inayojishughulisha na usafirishaji ndani ya shirika la Posta Tanzania ...
.
Mazungumzo hayo yalilenga kujenga ushirikiano wa kufanya KAZI pamoja na Namna Bora ya kufanikisha Bonanza la Wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/2026 katika ofisi ya Posta Makao makuu.

Bonanza hilo linatarajiwa kufanyika siku ya Tarehe 31 Jan 2026 kwa kuwashirikisha wanafunzi wote wa Shule kuu ya Elimu (SoED) pamoja na kawaalika wanafunzi Kutoka college of Humanities (COHU) na wale wanafunzi wa DUCE .....

Hivyo mpaka sasa majadiliano yapo pazuri kuhakikisha mambo yanakaa vizuri Ili kuanza matangazo ya haraka... .tanzania

Photos from Daruso Soed account's post 11/01/2026

Viongozi wa Shule kuu ya Elimu DARUSO -SoED M/kiti Danford Millanzi na Katibu wake Vedastus Gunda ni miongoni mwa viongozi wa Muhimili wa Mahalliama katika serikali ya wanafunzi chuo kikuu Cha Dar es salaam DARUSO Mlimani waliohudhuria kikao KAZI Cha Muhimili huo Jan 9 2026 ndani ya viunga vya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kampasi ya Mwalimu Nyerere (Main campus).....

Photos from Daruso Soed account's post 11/01/2026

Tujiandae kwa tarehe tajwa

11/01/2026

Jiandae

02/01/2026

Uongozi wa serikali ya wanafunzi Kutoka Shule kuu ya Elimu DARUSO -SoED unakupongeza sana Prof. Rose Upor kwa kuteuliwa kuwa Makamu mkuu wa chuo Taaluma (DVC - ACADEMIC) .....

Photos from Daruso Soed account's post 31/12/2025

Mambo yamenogaaaaw

28/12/2025

Huu ndio muonekano Hali wa majengo ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kampasi ya Lindi iliyowekwa jiwe la Msingi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na taasisi mbalimbali...
.
Udsm yazidi kung'ara ...

Photos from Daruso Soed account's post 28/12/2025

Mguu wa roho mguu wa shingo hakuna kutetereka mtaelewa tu , safi kabisa ..
Unapoenda kazini hakikisha jembe unalo begani k**a mchezaji na mpira na viatu ....

Maandalizi hayo kuelekea Intercollege 2026...

Photos from Daruso Soed account's post 28/12/2025

Mimi kwangu Hawa ni wakombozi kwenye SOKA la UDSM unaweza kuchukulia poa lakini wanapokuwa kwenye majukumu yao k**a vile siyo wale wanaoingia Darasani ....

Muite Hugo Master bonge la Full back hakuna kupita kirahisi ....
.
Tunawakaribisha wote mkaribie mtakaposikia Intercollege imeanza njoo uone vipaji ...

Ahsante sana vijana wangu kutoka Shule kuu ya Elimu SoED ...

Photos from Daruso Soed account's post 28/12/2025

Nyumbani kwanza ambapo ni SOED...


Nawaamini sana wanangu mnapokuwa kazini hakuna kurudi nyuma mwanzo mwisho ...

Mpaka tone la mwisho , Mmeniahidi makubwa nasisi k**a uongozi tunawaahidi ushirikiano mkubwa Ili mambo yawe makubwa zaidi....

Vijana wa mpira wa migumu kutoka Shule kuu ya Elimu chuo kikuu Cha Dar es salaam UDSM ...

HAKUNA KUPOA...

28/12/2025

Kesho la Maangamizi la Shule kuu ya Elimu DARUSO -SoED Wana jambo Lao mwaka huu ..

Hakuna kupoa mpaka kieleweke wanangu ....

Mwaka Jana wanajua kilicho wakuta wengine kwahiyo kila Kona kwa sasa maelezo ni SoED footballer team....

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


9121 DSM
Dar Es Salaam