Afya online tz

Afya online tz

Share

join my page. kupata information mbalimbali kuhusu afya yako, jinsi kujikinga na magonjwa, na mengin

Photos from Afya online tz's post 09/07/2022

JE WAJUA KUHUSU ''KISONONO""👇👇👇👇👇👇 inbox me kwa swali lolote, nyongezi au msaada zaidi.

01/12/2020

December 01.
Jikinge na ukimwi, na wakinge uwapendao
Epuka ngono zembe

26/11/2020

UFAHAM UGONJWA WA KASWENDE.
Kaswende.; Ni ugonjwa wa zinaa ambao husababishwa na vijidudu vya bakteria viitwavyo treponema pallidum. Hujulikana k**a syphilis kwa kiingereza. Ni kati ya magonjwa ya zinaa ambayo yapo kwa sana(trending), na yanahatari ya kuathiri moyo na ubongo k**a mtu asipopata matibabu haraka na kamili, ugonjwa huu hutibika na kupona kabisa. Kaswende na magonjwa mengine huongeza hatari ya mtu kupata virusi vya ukimwi.
na gonjwa hili.

10/08/2020

For academic purpose.
Join my page.

Good information coming soon.🙏🙏🙏

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Masaki
Dar Es Salaam