Karibuni wazazi na walezi tunalea na kuwafundisha watoto tupo chanika Chambala mwembe tanga 0783028990/0714858676
Sammy English Medium & Day Care
Karibuni saaana wakazi wa Chanika na maeneo ya jirani katika kituo chetu cha kulelea watoto kwa huduma nzuri na za uhakika tena kwa bei nafuu kabisa
Karibuni sana wazazi bado tunaendelea kupokea watoto 0783028990 0714858676
07/12/2021
Karibu wazazi katika shule yetu ya chekechea tunalea watoto kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka miaka mitano
27/06/2021
Karibuni saaana wakazi wa Chanika na maeneo ya jirani katika kituo chetu cha kulelea watoto pamoja na chekechea tunapatikana Chanika mwembe tanga
27/06/2021
Karibuni wazazi na walezi katika kituo chetu cha kulelea watoto pamoja na chekechea tunapatikana Chanika mwembe tanga
Tuna huduma nzuri tena kwa bei nafuu kabisaa,mlete mwanao kwa malezi na elimu bora.
Tunapokea watoto kuanzia mwaka mmoja na nusu mpaka miaka mitano
Tuna waalimu wazoefu na walio bobea katika kufundisha watoto na kuwa hudumia watoto wadogo
KARIBUNI SAAANA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Chanika, Masantula Mwembe Tanga
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 08:00 - 16:00 |
| Wednesday | 08:00 - 16:00 |
| Thursday | 08:00 - 16:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |