05/08/2021
Alkawthar Daycare and Nursary school.
Page hii ni makhsusi kwa ndugu wazazi na wale zi na wenye nia na kuipenda shule yetu ya awali na malezi ALKAWTHAR . AHSWANTUM JAZAKUM LLAH KHAIR
Lengo kuu ni kurahisisha mawsiliano baina ya uongozi wa shule na Wazazi.
05/08/2021
ASSALAM ALYKUM
Ndugu mzazi tunaenda kufunguwa shule mnamo trh 29.6.2020.
Karibuni TUNAPOKEA watoto kuanzia miaka 11/2 - 5
Tupo MASJID SHIA BAGAMOYO.
KARIBUNI
10/05/2020
KWA JINA LA MWENYEZIMUNGU
ALKAWTHAR ISLAMIC SCHOOL BAGAMOYO
Inawakumbusha wazazi kuwa Makin katika kipindi hiki kigumu Cha mpito Cha ugonjwa wa corona.
Kwan Allah muda si punde atatuondoshea naqama hii insahallah.
Ramadhan Kareem //=
02/12/2019
Tunapokea wanafunzi wapya
Umri- miaka 2 HADI 5
KARIBUNI NYOOTE
ADA ZETU NI NAFUU
SHULE NI YA KUTWA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam