sylivestershady

sylivestershady

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from sylivestershady, Education, Msimbazi Street, Dar es Salaam.

15/09/2024

MWENYEKITI IMARA WA UVCCM TAIFA
CDE. M .A .KAWAIDA
Neno moja kwake....✍️

03/09/2024

UKIMYA PIA NI LUGHA IJAPOKUWA WENGI HAWAIELEWI



MB_ MAFINGA MJI & NW MAMBO YA NJE

26/08/2024

KIONGOZI BORA HUTOKA KWA MUNGU 🙏

25/08/2024

Mratibu Mkuu TK Taifa ndugu. pamoja na Mratibu TK Mafinga Mji _Iringa tukiwa kwenye picha ya pamoja kwenye uzinduzi wa TK Movement Mkoa wa Iringa

Nb. CDE MAGAMBO ALINIELEZA YAKUWA
Cheo nidhamana ya kuwatumikia wananchi na hatupaswi kubeza Mitazamo ya Watu wengine , lakini pia alinieleza yakuwa Usipoteze undugu au Urafiki ulio ujenga kwa siku nyingi etii kwasababu ya fedha, kukatishwa tamaa ama kudhohofishwa na waovu ,hivyo tushikamane pamoja kwa ujenzi wa Taifa letu 🙏✍️🇹🇿

25/08/2024

Wakati wa Mungu ni Wakati Sahihi 🙏✍️
Ahsante wana IRINGA Mmeitwa mkaitika 24 08 2024

Photos from sylivestershady's post 14/08/2024

📍 ZIARA YA MRATIBU WA TK MOVEMENT MAFINGA MJI CDE. _SHADRACK KIBIKI_ ALIAMBATANA NA HAMASA WA TK MOVEMENT MAFINGA MJI _NDG.CHRISTOPHER MKOMA_ KATIKA KATA YA UPENDO MTAA WA UPENDO _14/08/2024_ 📍

>Kugawa tisheti za TK Movement kwa wanachama hai wa TK Movement.

>Tumewajuza wananchi wa mtaa wa upendo kuhusu Umuhimu wa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa*

> Tumewaeleza wananchi Utekelezaji wa Miradi iliyotolewa na Raisi mpendwa dkt Samia Suluhu Hassan katika Mtaa wao.

>Tumewaeleza vyema Habari za Mikopo ya 4 4 2 pamoja na BBT

>Tumesajili wanacha* *wapya kwenye Mfumo wa Elektroniki _Tk App

> Tumewakalibisha katika uzinduzi wa TK Mkoa wa Iringa Utakao fanyika tarehe 24/08/2024

🔥 _Imetolewa_ Ofisi ya Mratibu TK Mafinga Mji_Iringa 🔥

10/08/2024

📍 📅 09Aug2024 📍

KONGAMANO LA VIJANA UVCCM MUFINDI
🔥 Harakati za Mtu mweusi 🔥🙏
Kuna wakati tunapaswa kukaa kimya ili kujifunza kwa walio kwisha tutangulia ✍️

Photos from sylivestershady's post 04/08/2024

NUKUU ZA MNEC TAIFA MH SALIM ABRI (ASAS)
KATIKA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MUFINDI.

"Kiongozi anatoka kwa Mungu "

Photos from sylivestershady's post 03/08/2024

Nimeshiriki vyema kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Mufindi siku yaleo , kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM Wilaya kikiongozwa na MNEC TAIFA MH ASAS .
Ametuhasa mengi sana ikiwepo kutukumbusha ya kuwa Wanachama yeyote huruhusiwi kununuliwa na mtu awaye yeyote mwenye maslahi yake binafsi au dhamira yakutaka nafasi fulani katika maeneo mbalimbali n.k




01/08/2024

🔥 🔥 SGR .......DAR TO DOM 🔥🔥🔥





Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Msimbazi Street
Dar Es Salaam
255