Al-manaarat Online Salaf Academy

Al-manaarat Online Salaf Academy

Share

Huu ni ukurasa wa jukwaa la MOSA. MOSA ni jukwaa kwa ajili ya kueneza elimu sahihi kwa mujibu wa kitabu na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Jukwaa hili linatoa elimu ya dini ya kiislamu kutoka ngazi ya chini, ya kati na ya juu.

25/03/2026

*🌙FUNGA YA (SIKU) SITA ZA MFUNGO MOSI🌙* SEHEMU YA KWANZA

📝Imam Ibnu Rajab Al-Han-baliy - Allâāh amrehemu -:
_*"Kurudia kufunga baada ya funga ya Ramadhani ni alama ya kukubaliwa (ibada ya) funga ya Ramadhani. Kwa sababu Allâāh pindi anapokubali amali (fulani) ya mja, basi humwezesha (humuafikisha kutekeleza) amali njema baada yake"*_

https://whatsapp.com/channel/0029VbC3z6F17En3ZUrGfq1J

10/03/2026
10/03/2026

Mtume muhammad: "Itafuteni Laylatul Qadr katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani'

08/03/2026

Alisema mwanachuoni Ibnu Baaz -Allâāh amrehemu- kuhusu kurefusha kucha kuwa:

"Suala la kurefusha/kufuga kucha, ni lenye kukinzana na Sunnah. (Bali) kuna kujifananisha na wanyama (mbuawe) na baadhi ya makafiri"

06/03/2026

AS-SALĀMU ÃLAYKUM WARAHMATULLĀHI WABARAKĀTUHU.
NDUGU ZANGU DIRISHA LA USAJILI WA WANAFUNZI WA DINI WA ONLINE LIPO WAZI KATIKA KITUO CHETU CHA MOSA.

Mwenye kuhitaji anitafute kwa namba hii WhatsApp +255743637088

07/01/2026

*0000049:UJUMBE WA LEO📩*

🔥UBAYA WA UZUSHI KATIKA DINI

📌Alisema Mwanachuoni mkubwa Ibn 'Uthaymiin (Allaah amrehemu) kuhusu kuzua katika dini:

*"Jambo la kuzusha (ibada zisizo fundishwa na kutokuwa na mfano kutoka kwa maswahaba) katika dini (hii) kwa hakika ni kumdhihaki Allaah. Kwasababu (wewe ukizua ibada) unajikurubisha kwake kwa kitu ambacho yeye hajakiweka sheriani"*

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


+255743637088
Dar Es Salaam