Mtuki Highland Schools

Mtuki Highland Schools

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtuki Highland Schools, School, Buyuni Chanika (Road), Dar es Salaam.

09/06/2026

Terminal 2026 MTUKI HIGHLAND best performers recognition.
Choose the best school for the betterment of your children.

09/06/2026

Huyu ni mwanafunzi wa elimu ya awali. Akiwasilisha risala ya wanafunzi wa elimu ya awali Kwa mgeni rasmi.
Ni MTUKI HIGHLAND pekee tunajenga uwezo WA watoto wa kujieleza, kujiamini, uelewa wa Hali ya juu.
Je, unahitaji na mwanao awe na uwezo k**a mwanafunzi huyu? Suluhisho ni moja Tu. MTUKI HIGHLAND. Tupigie simu namba 0628909046 shule inapatikana Kata ya Buyuni Chanika. HALMASHAURI ya jiji la Dar es salaam. Nafasi BADO zipo. Karibu Sana MTUKI HIGHLAND

09/06/2026

Usalama Wa Watoto Wetu Ni Muhimu Sana! Kuwaacha Barabara Kuu Bila Kuwafikisha .ajumbani Kwako Kabisa Sio Salama,

Tunao Usafiri Wa Kutosha Kwa Wanafunzi Wote Wa Kutwa Na Bweni!

Karibu Sana Mtuki Highland! Mlete Mwanao Mtuki Apate Nidhamu, elimu Na Maarifa

07/06/2026

📚✨ Kila ukurasa unaosomwa leo ni hatua moja kuelekea mafanikio ya kesho.

Katika Mtuki Highland Day & Boarding School, wanafunzi hawajifunzi tu kusoma; wanajifunza kujiamini, kufikiri kwa kina, kuwasiliana kwa ufasaha na kuwa viongozi wa baadaye. Reading Competition yetu ni sehemu ya safari ya kujenga kizazi chenye maarifa, ubunifu na uwezo wa kushindana popote duniani.

🌟 Mzazi, chagua shule inayokuza vipaji, nidhamu na ubora wa kitaaluma kwa vitendo.

Mtuki Highland Day & Boarding School — Mahali ambapo ndoto za watoto hupewa msingi imara wa mafanikio.

07/06/2026

We Raise Talents At Mtuki Highland Day And Boarding School, Contact us for ADMISSION With Free Interview,
+255 628 909 046

07/06/2026

Tunahakikisha wanafunzi wetu Wapo smart muda Wote

07/06/2026

📚✨ INAVUTIA KUSHUHUDIA!

Wanafunzi wa Mtuki Highland Day & Boarding School wakionesha uwezo wao mkubwa wa kusoma katika mashindano ya Reading Competition. Kupitia programu hizi, wanafunzi hujenga ujasiri wa kuzungumza mbele za watu, huongeza uwezo wa kusoma kwa ufasaha, kuelewa wanachosoma, na kuimarisha matumizi sahihi ya lugha.

Katika Mtuki Highland, tunaamini kuwa elimu bora hujengwa kwa vitendo, mazoezi na mazingira yanayomwezesha mtoto kufikia ndoto zake.

🌟 Mzazi, mpe mwanao nafasi ya kupata elimu yenye ubora, nidhamu na maendeleo ya kitaaluma. Jiunge na familia ya Mtuki Highland Day & Boarding School leo.

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu usajili na nafasi za masomo. 0628 909 046

ElimuBora AcademicExcellence

,

07/06/2026

Learning With Action

03/06/2026

📚✨ INAVUTIA! Wanafunzi wa Mtuki Highland Day & Boarding School wakishiriki kwa ari kubwa katika Reading Competition, programu inayolenga kuimarisha uwezo wa kusoma, kuelewa, kuchambua na kuwasilisha maarifa kwa ufasaha.

Mashindano haya huwajengea wanafunzi kujiamini, kuongeza msamiati, kuboresha matamshi ya lugha na kukuza uwezo wa kufikiri kwa kina, jambo linalochangia mafanikio yao ya kitaaluma na maisha ya baadaye.

Mtuki Highland Day & Boarding School tunaendelea kuandaa mazingira bora ya kujifunza yanayomlea mwanafunzi kuwa msomaji mahiri, mbunifu na mwenye ushindani katika ulimwengu wa elimu.

03/06/2026

Tunazo program mbalimbali shuleni Kwetu Mtuki Highland Zikiwemo Ushindani Katika Umahiti Wa Kusoma, (Reading Competition) Hii inamjengea Uwezo Mtoto Wa Kitaalamu na kujoamini zaiid, lakini washindi tunawapa Zawadi, Namna zote hizi ni katika Kuhakikisha Wanafunzi Wanahamasika Kujifunza Na Kusoma Kwa Bidii Zaidi

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Buyuni Chanika (Road)
Dar Es Salaam
69092