01/05/2026
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from psj_tanzania, Education, Dar es Salaam.
01/05/2026
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
11/04/2026
For Information kindly contact us : 👉0719 406048/0624224750
07/04/2026
“Huwezi Kuwa Mwananchi K**a Huna Uchungu na Nchi Yako”
Historia yako itaishi Milele💪
05/04/2026
Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Kwa Wakristo wote🕊️
03/04/2026
“siku ya kukumbuka upendo wa kweli uliotolewa kwa ajili yetu”. Practical Schoo Of Journalism Tunawatikia Watanzania Wote Heri Ya Ijumaa Kuu 🙏
20/03/2026
Uongozi wa Chuo Cha Uandishi wa Habari kwa Vitendo-PSJ, Unawatakia Waislamu Wote Nchini heri ya Sikukuu ya Eid Al Fitr
EID MUBARAQ🌙
❤️
17/03/2026
Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari PSJ kwa kushirikiana na wanafunzi wake, wameonesha upendo wa dhati kwa kutembelea na kutoa msaada katika kituo cha kulelea watoto yatima Kinachofahamika k**a MWANA ORPHANAGE ISLAMIC FOUNDATION kilichopo Vinginguti ,Dar Es Salaam.
“Ni zaidi ya kujifunza darasani ni kujenga moyo wa kujali, kugusa maisha ya wengine, na kuleta tabasamu kwa wanaohitaji”.
08/03/2026
Asante kwa kila mwanamke anayepigania ndoto zake, familia yake na jamii. Leo ni siku yenu. Happy Women’s Day!.💐
Kwa niaba ya Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo -PSJ, Mkurugenzi FATUMA ZAHORO CHOMOKA anawatakia Waislamu Wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na kuomba kuendeleza mshik**ano na upendo katika nchi.
🌙
18/02/2026
Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji kwa Vitendo unawatakia Waislam Wote Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan 🌙