17/04/2025
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu ameonesha kuvutiwa na singeli ya ‘Afande’ iliyoimbwa na Dogo Paten.
Wimbo huo wa Singeli ambao umekuwa ukifanya vizuri kwenye mtandao wa Tiktok umemfikia Zuchu na kumfanya aombe kolabo ya wimbo huo. “Aya nampa remix namtafuta,” ameandika Zuchu
Aidha kwa upande wa Paten amemshukuru Zuchu kwa kutambua kipaji chake. “Hakuna mafanikio rahisi kikumbwa kupambana, nashukuru sana hii kubwa kwangu,” Paten
Ikumbukwe Dogo Paten alianza kufahamika baada ya kufanya remix ya wimbo wa Marioo ‘Salio’.
29/12/2021
YA MOUNT ELITES TANZANIA inatangaza nafasi za Masomo kwa Muhula mpya wa Masomo mwaka 2022 kwa Watahiniwa wa Kujitegemea yaani Maarifa (QTs) na Wanaorudia Mitihani ya Kidato cha 4 & 6. RASMI: TAR 3/01/2022.
KWA PRE-FORM 5, HOSTEL NI GHARAMA NAFUU.
ZETU NI NAFUU SANA ZINALIPWA KWA AWAMU 3.
TUPO: TEMBONI, SARANGA MWISHO MTAA WA JAMES, JIRANI NA BOSS LADY. : 0752 309 999 au 0659 309 999
01/08/2020
MOUNT ELITES SCHOOL TANZANIA ni shule inayotoa Elimu ya Sekondari huria kwa miaka 2 kwa wanafunzi wa QT na Re-sitters(wanaorudia mtihani wa kidato cha 4 na 6)
Pia kuna kozi za kompyuta na kujifunza lugha za kigeni.
Tupo: MBEZI LOUIS, KIBANDA CHA MKAA, MTAA WA MAGONGO. JIJINI DAR ES SALAAM.
WASIALIANA NASI: 0716 804 496 & 0752 309 999.
01/08/2020
TUNAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA YAANI QT NA WANAORUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA 4 NA 6.
COMPUTER COURSE NA TUITION KWA VIDATO VYOTE.
TUPO: MBEZI LOUIS, KIBANDA CHA MKAA, MTAA WA MAGONGO.DAR ES SALAAM.
WASILIANA NASI: 0716 804 496 & 0752 309 999.
27/06/2020
SHULE YA MOUNT ELITES SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA USAJILI WA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE NA QT MWAKA 2020, NJOO TUKUSAJILIE, MWISHO WA USAJILI NI TAREHE 5/7/2020. WAHI SASA NAFASI ZIMEBAKI CHACHE.
21/06/2020
MOUNT ELITES SCHOOL, WE BUILD YOUR FUTURE.
FOR MORE DETAILS CONTACT US NOW: 0716 804 496, 0752 309 999.
20/06/2020
ZIFAHAMU SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO YA ELIMU YA SEKONDARI HURIA KWA MIAKA 2 YAANI KIDATO CHA 3 NA 4 KWA MWAKA 1) NA KIDATO CHA 5 NA 6 KWA MWAKA 1.
SHULE YA MOUNT ELITES IPO MBEZI LOUIS, KIBANDA CHA MKAA,DAR ES SALAAM.
TUPIGIE: 0716 804 496, 0752 309 999.
20/06/2020
ZIFAHAMU SIFA ZA KUJIUNGA NA KUSOMA ELIMU YA SEKONDARI KWA MIAKA 2 YAANI QT (KIDATO CHA 1 NA 2 KWA MWAKA 1) UKIFAULU UTASOMA KIDATO CHA 3 NA 4 KWA MWAKA 1.
SHULE YA MOUNT ELITES IPO MBEZI LOUIS, KIBANDA CHA MKAA,DAR ES SALAAM.
TUPIGIE: 0716 804 496, 0752 309 999.
18/06/2020
SHULE YA MOUNT ELITES TANZANIA Inawatangazia nafasi za Masomo kwa mwaka 2020/2021 kwa wanafunzi wa QT na RE-SITTERS (wanaorudia Mtihani wa Kidato cha 4 & 6) na wanaojiunga kozi za Lugha na Computer. Karibuni.