Kitan daycare

Kitan daycare

Share

Day care and English Medium school in Tanzania that receives children from 2 to 5 years
KITAN is special because our Main focus is on Kids Talents Nurturing.

For More info call us
0672553720 visit us at Mbezi kibanda Cha Mkaa,

19/03/2026

Binti yake alilelewa kituoni hapa na sasa yuko darasa la nne.
Aksante sana ,Mungu aendelee kumtunza binti yetu huko aliko

19/03/2026

Tupo kuwahudumia watoto wote.

Photos from Kitan daycare's post 17/03/2026

wajibu wetu k**a walezi na wazazi ni kuwasaidia watoto wetu kutambua ndoto zao katika umri huu ili wajiandae kuyakabili maisha ya za usoni.Leo tunafurahi kupata vijana watakaojenga majumba na mabinti wapambaji kumbi za sherehe.Tunaimani watasaidiwa kuziishi ndoto zao👏👏👏👏👏
w

05/03/2026

watoto wetu faraja yetu.Hivi ndivyo tunafanya kuwaanda watoto wawe farja ya wazazi,ni furaha iliyoje kuwa na mtoto chapa kazi namna hii.Inawezekana tukianza nao mapema.Kitan daycare tunashirikia na wewe mzazi kumwandaa mtoto mapema,karibu sana umlete mtoto wako hapa

26/02/2026

UMBALI SIO SABABU,TUNAMFUATA MTOTO.
NA KUMRUDISHA NYUMBANI

11/04/2025

Tukiwafundisha watoto wetu,kujitoa walivyonavyo kwa ajili ya wengine,tunajenga TAIFA IMARA LENYE UPENDO WA DHATI.

10/04/2025

Madaktari wetu wakielekezwa namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumia.Ndoto huwa halisi,inawezekana,tuwasaidie kutimiza ndoto zao

19/03/2025

Kesho ya mtoto huanzia hapa,vijana hawa ni madaktari wa kesho,tuwahimize watoto wetu kujua kesho yao LEO

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Magengeni
Dar Es Salaam
00000