10/05/2026
Happy Mothers Day #2026
Karibu Montfort Primary, Shule ya Day inyoongozwa chini ya maadili ya Montfort Brothers (Roman Catholic Brothers) ipo Yombo Vituka Dar Es Salaam, �
10/05/2026
Happy Mothers Day #2026
Hii ndiyo smart Class ya Montfort,
02/05/2026
Habari za mchana ndugu wazazi, maonesho yaliyofanyika wiki iliyopita yataoneshwa kupitia kisimbuzi cha Azam tv chanel ya UTV JUMAPILI SAA 4-5 ASUBUHI.
02/05/2026
Leo tumepata Fursa ya kutembelea Studio za Azamtv kwaajili ya mahojisno ya moja kwa moja, usikose kuangalia kesho jumapili kuanzia saa 4asubuhi kujionea vipaji vya watoto wetu
27/04/2026
Shukuran za kipekee ziende kwa mgeni rasmi kwa kuhurudhuria maonesha haya ya Taaluma 2026
Lilian Kasenga: Mthibiti Mkuu ubora wa shule wa halmashauri ya manispaa ya Temeke
Asante sana
26/04/2026
Maonesho ya Taaluma #2026 shulen Montfort
25/04/2026
Kilele cha Maoneshe ya Taaluma hapa Montfort kinahitimishwa leo na mgeni Rasmi: Lilian Kasenga, Mthibiti Mkuu ubora wa shule wa halmashauri ya manispaa ya Temeke, Asante sana kwa kuungana nasi kwenye shuguli hii muhimu kwa watoto wetu
Maonesho ya Taaluma 2026
23/04/2026
Kesho Maonesho yanaanza, Karibuni sana, wazazi na walezi
30/01/2026
Our teachers don’t just teach lessons, they shape dreams, build confidence, and inspire bright futures every single day. 🍎✨
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 07:30 - 16:30 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 07:30 - 16:30 |