Tafiti Consult Ltd

Tafiti Consult Ltd

Share

Empowering Your Research

07/05/2022

Kazi yoyote ya utafiti hurejelea maandishi mbalimbali ambayo ni lazima yaonyeshwe pale mwishoni mwa utafiti wake.

Ubora wa references (marejeo) ni jambo kuzingatia unapoandika tafiti.

Sio kila rejeo (reference) inafaa kutumika katika tafiti.

Zifuatazo ni mbinu za kuchagua reference bora za tafiti yako:

1. Chagua references zisizozidi miaka 15 nyuma
Kwa mfano, ikiwa unaandika Tafiti yako mwaka 2022, references zako ziwe kuanzia mwaka 2007 na kuendelea

2. Chagua marejeo yako kwa kipaumbele/mtiririko huu;

o Makala ya jarida yaliyopitiwa na wataalamu wengine (Peer-reviewed journal articles) – 𝐈𝐧𝐚𝐟𝐚𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚
o Vitabu, ensaiklopidia na kazi nyingine za kisomi -𝐈𝐧𝐚𝐟𝐚𝐚 𝐤𝐢𝐚𝐬𝐢
o Majarida, blogu, tovuti -𝐇𝐚𝐢𝐟𝐚𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚

3. Chagua marejeo yenye taarifa zilizokamilika k**a vile Jina la mwandishi, mwaka, mchapishaji, jina la jarida, n.k.
Taarifa pungufu huathiri ubora wa references zako. Jitahidi kutafuta taarifa kamili za rejeo

Je, umejifunza kitu? Tafadhali share na marafiki zako





22/04/2022

Ni nani asiyependa kuwa na Tafiti bora?

Moja ya mbinu unazoweza kutumia ni kujadiliana na wenzako mlio katika taaluma moja ili kupata mawazo tofauti (Peer Review)

Hii itakusaidia kuiweka tafiti yako katika namna bora

Need help?
Please contact us via 0754 244 452





20/04/2022

MAMBO 3 YA KUZINGATIA UNAPOKOKOTOA SAMPLE YA TAFITI YAKO

1. Population size
2. Confidence level
3. Margin of error (confidence interval)

Karibu Tafiti Consult kwa ushauri kuhusu Sampling ili kuifanya Tafiti yako iwe bora. Ni Bure


18/04/2022

THINGS TO KEEP IN MIND

1. Consistency
Be consistent, remember that any change we see in our data reflects real change in research findings

2. Diversity
A sample must be as diverse as the population itself and sensitive to the differences that are unavoidable in the population

3. Transparency
It is important to discuss the limitations and maintain transparency about the procedures followed while selecting the sample





13/04/2022

Baadhi ya Softwares unazoweza kutumia wakati wa Uchambuzi wa Data (Data Analysis) za Tafiti yako ni;

1. Microsoft Excel
2. SPSS
3. STATA
4. Python

Je, unaifahamu software ipi? 🤗🤗



08/04/2022

Utafiti hujumuisha hatua kuu tatu (3)
1. Kuuliza swali
2. Kutafuta data ili kujibu swali
3. Kutoa jibu la swali

Professor John M. Creswell
Mtafiti Mbobevu






21/03/2022

Habari,

Je, hujui ni wapi upate ushauri na msaada wa kitaalamu wa namna ya kuanza mpaka kukamilisha 𝘁𝗮𝗳𝗶𝘁𝗶 yako?

Wasiliana nasi sasa: +255 754 244 452

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam