๐ฅ MCHANGO KIDIGITALI โ Changisha Kirahisi, Salama na Kwa Uwazi!
Je, bado unahangaika kukusanya michango kupitia WhatsApp, pesa taslimu au kutuma pesa mtu mmoja mmoja?
Sasa kuna suluhisho la kisasa โ MCHANGO ndani ya Mixx Super App!
Kwa kutumia MCHANGO unaweza:
โ
Kufungua akaunti ya mchango kidigitali muda wowote (24/7)
โ
Kupokea michango kutoka mitandao YOTE ya simu na benki zote Tanzania
โ
Kutuma Invitation Cards kwa wachangiaji
โ
Kutuma Reminder SMS kwa waliochelewa kuchangia
โ
Kufuatilia kila mchango kupitia digital reports
โ
Kulipa bili, kutuma pesa au kutoa fedha moja kwa moja kwenye akaunti ya Mchango
Faida kuu?
โจ Rahisi kutumia
๐ Salama na ya kuaminika
๐ Uwiano kamili wa mapato (transparency)
โฑ Haraka na flexible kwa tukio lolote โ harusi, msiba, birthday, shule au shughuli za kijamii
MCHANGO inaleta mapinduzi ya namna tunavyoshirikiana k**a jamii โ hakuna tena usumbufu, hakuna mkanganyiko wa hesabu, kila kitu kiko wazi!
๐ฒ Fungua Mixx Super App โ Chagua MCHANGO โ Anza kukusanya michango yako leo!
Foundation of Success Academy
Foundation of Success Academy
" Ndoto Yako Inawezekana "
๏ฟฝHUDUMA ZETU.
๏ฟฝ Ushauri Wowote Kuhusu
29/11/2022
Jisajili kujifunza mengi Kutoka Kwa Wataalam hawa.
Cc
28/09/2021
๐๐ง๐๐ฉ๐๐ฌ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ ๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐๐จ๐ฐ ๐๐๐.
Kujifunza Namna Fedha inavyotengenezwa na Namna bora ya Kuidhibiti isipotee ndicho Kikubwa Kinacho Watofautisha watu Tajiri na watu Masikini.
Sasa kwakutambua Umuhimu wa Elimu ya Fedha kwenye Maisha tumekuandalia Darasa la Siku 12 kwa Njia ya WHATSAPP litalokufanya Ujue Mambo mengi sana kwa wakati Mmoja lakini Makubwa ni haya 5.
1. Njia za Kutengeneza, Kutunza na Kuwekeza Fedha kwa Usahihi.
2. Namna unavyoweza Kutengeneza Fedha Kupitia Smartphone yako.
3. Kwanini Unatengeneza Fedha nyingi alafu Zinapotea au hujui zinaenda wapi.
4. Namna unavyoweza Kunufaika na Changamoto za Jamii au Taifa lako.
5. Kwanini una maisha Magumu, wapi uanzie kurekebisha.
K**a haitoshi ndani ya Kozi hii Utapatiwa Vitabu 10 Vya Fedha Visivyopatikana BURE na Video zaidi ya 20 zenye uwezo wa Kubadili Maisha yako kabisa kwenye Upande wa Fedha.
Muhimu zaidi Katika Kozi hii Nitakupatia Kitabu changu cha KANUNI 20 ZA FEDHA BURE kabisa Chenye kurasa zaidi ya 180 Kwa wale Wataojiunga nasi.
Kozi hii ni Tsh 15,000 kwa Siku zote 12 hii inahusisha kupata Video na Vitabu vyote nilivyotaja hapo ila Watu 10 wa Mwanzo kujiunga Watalipia 12,000 na kuokoa elfu tatu nzima.
Tutajifunza Kwa njia ya Notes, Sauti ndo zaidi, Picha na Video Pamoja na Vitabu nitavyotoa Na Sio Lazima uwe online kila siku utajifunza Mafunzo kwa Muda wako Maana ukijiunga Masomo yanakuwepo tu ni wewe Kuweka Ratiba zako unataka Kujifunza Muda gani.
Swipe Left Kuona Kitabu Watachopata washiriki wa Kozi hii.
JISAJIRI SASA kwa #0744126640
Cc
25/09/2021
from
๐๐ข๐ข ๐ง๐๐จ ๐๐ฃ๐ข๐ ๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐๐ณ๐ ๐๐๐ฎ๐ณ๐จ ๐๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ข๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ ๐๐๐ค๐จ ๐๐๐.
Katika Kufanya Vizuri katika Mauzo Kuelewa Saikolojia ya Wateja ni Muhimu sana na hii inahusisha Mambo yafwatayo kwanza Kwanini Wateja Wanafikiri namna wanavyofikiri,Nini Wateja Wanapenda na Kwanini Wanapenda Wanachopenda Muhimu zaidi Saikolojia ya Wateja inahusu Kuelewa Mteja anachotaka na Kumpa zaidi ya kile anachokitaka au kukitarajia kutoka kwako k**a Muuzaji.
K**a Maana ya Psychology inavyosema " is the study of human mind" Yaani ni Kujifunza kuhusu akili ya Binadamu, Kwenye Upande wa Biashara na Mauzo ni Muhimu Kujua fikra za Wateja juu ya Bidhaa/huduma unazotoa na watu Wana imani na fikra zipi kuhusu Soko la Bidhaa au Huduma iliyopo.
Baada ya Kujifunza somo hili kwa Siku ya Kesho Utagundua Mambo haya Manne,
1. Sababu zinazo wafanya Wateja Kununua au Kuto kununua Bidhaa/huduma kwa Muuzaji Fulani.
2. Vitu 10 Wanavyoviangalia Wateja Kabla ya Kufanya Maamuzi ya Kununu au Kutokununua Bidhaa/huduma Fulani.
3. Utofauti Mkubwa Walionao Wateja unaoleta Utofauti katika Mauzo baina ya Muuzaji mmoja na Mwengine.
4. Njia za Kuongeza Wateja ili uongeze Mauzo katika Biashara yako.
NJOO KESHO Kuanzia saa 7 Mchana Mpaka 12 za Jioni Mimi pamoja na Vijana Wenzangu tutakuwa Hapo kufundisha BURE kabisa .Eneo ni lile lile Rombo Green View Hotel lililopo Shekilango Dar.
Utajifunza Kuhusu Fedha, Biashara, Mfumo wa Akili na Saikolojia, Ajira na Mahusiano ya Mapenzi kutoka kwa Walimu 6 .
Kwa Mengi Follow
Cc
24/09/2021
from
J'pili iliyopita nilipata nafasi ya Kuongea na Mamia ya Vijana kwenye Semina za God's Value to Youth katika Chuo Kikuu cha Kampala
Somo langu lilikuwa NGUVU YA MAAMUZI katika Kufikia Mafanikio.
Tukutane Tarehe 1 October kwenye Kozi ya Fedha kwa siku 7 Mfululizo inayofanyika kwa Njia ya WHATSAPP.
24/09/2021
- by
๐๐ฐ๐๐ง๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐๐๐ง๐ ๐ข ๐๐๐ฐ๐๐๐๐ง๐ข๐ค๐ข๐ฐ๐ข ๐๐ข๐๐๐๐ก๐ ๐ฎ๐ค๐ข๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ ๐๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐?.
Kuna sababu kubwa tatu za kwanini Wanawake wengi hawafanikiwi Kifedha Ukilinganisha na Wanaume.
Kwanza ni Dependency Syndrome (Hali Tegemezi), Sehemu kubwa ya Wanawake wengi hawajajengewa Uwezo wa kujiamini na Kujitegemea hali inayowafanya either wategemee wazazi au Waume zao hata katika Mambo madogo wanayoweza Kusimama wenyewe, Hali hii imewafanya Wanawake wengi Wasiwajibike na Maisha yao na Kuwalaumu Wengine kwa Changamoto wanazopitia.
Sababu ya pili ni Inferiority Complex hii ni hali ya kujiona dhaifu au Kutokuweza.Hakuna Stadi zozote zilizofanyika na kubaini kwamba Mwanaume ni bora zaidi ya Mwanamke katika Upande wa Akili kwa maana hata Katika Historia ya Tuzo za Nobel ni mtu Mmoja tu Duniani aliyeshinda Tuzo mbili tena katika Upande wa Sayansi naye ni Mwanamke.Malezi na Jamii zimekuwa chanzo kikubwa cha Kuua Ukuu ulio ndani ya Mwanamke.
Sababu ya tatu ni Emotional Burden, hii sitaki kuelezea sana ila kwa ufupi hisia za upendo usio na kiasi pamoja na hisa za huruma zimekuwa chanzo cha Kuwarudisha nyuma wanawake wengi kiuchumi, bila kusahau kuna wanawake wengi hawataki kujisamehe na kuwasamehe wale walio wakosea hali inayowapotezea nguvu za Kupambana na Maisha na kuwa watu wa huzuni na Stress.
Kwakutambua Nguvu ya Mwanamke Ofisi ya Diwani Viti Maalumu ikiongozwa na MAGRETH CHEKA Kwakushirikiana na Darasa Community Microfinance wanakuletea Kongamano kubwa la MWANAMKE MAKINI litalofanyika Siku ya Tarehe 25 J'mosi hii pale Ukumbi wa Airline uliopo tawi la Uwanja wa Ndege Dar es Salaam.
K**a wewe ni Mwanamke au Binti basi hii si Yakukosa Utapata Elimu uliyokosa Shuleni, Elimu ambayo wazazi na Jamii haikukupatia, Siku hiyo utajengewa ujasiri na Kuonyeshwa Njia ya kwenda Katika kufikia Mafanikio yako k**a Mwanamke na Pia Utakutana na Wanawake Wenzio wanaofanya vizuri katika nyanja Mbali Mbali na Kutengeneza Network nao.
Cv
17/09/2021
- ๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ง๐๐ฌ๐ฌ & ๐
๐ข๐ง๐๐ง๐๐ข๐๐ฅ ๐๐ฑ๐ฉ๐๐ซ๐ญ ๐น๐ฟ] by
Mafanikio yetu kwenye Maisha yana tegemeana na uwezo wetu wa kutambua fursa zilizopo kutokana na wakati tunaopitia na Mazingira tuliyopo na uwezo wa Kutumia fursa hizo na sio kwasababu huzioni fursa basi ukadhani hazipo fursa zipo za Kutosha kila mtu kumfanikisha.
Na hapa nakumbuka maneno aliyowahi kuandika katika Kitabu chake Pendwa cha Rich Dad Poor Dad alisema " Fursa kubwa hazionekani kwa Macho yako Mawili bali kwa akili yako ".
Pia katika Kitabu cha Acres of Diamonds cha Russell Cornwell tunapata funzo kubwa sana la " Siku zote fursa ziko karibu yetu na wala hatuhitaji kwenda mbali kuzitafuta tunahitaji tu jujifunza namna ya kuzigundua na k**a haujagundua fursa kwenye eneo lako hata la mbali hauta ziona na Kumbuka hatuoni vitu k**a vilivyo bali k**a tulivyo wapo wanaoona Matatizo k**a fursa na wapo wanaoona matatizo k**a matatizo au laana.
Sasa haya ni Machache niliyojifunza Mimi ๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ง๐๐ฌ๐ฌ & ๐
๐ข๐ง๐๐ง๐๐ข๐๐ฅ ๐๐ฑ๐ฉ๐๐ซ๐ญ ๐น๐ฟ] Kuhusu Fursa, Sijui atayotufundisha Nguli Elly David ๐น๐ฟ ๐บ๐ธPROFESSOR)] J'mosi hii katika Darasa Master Class yaliyo chini ya kwa Maana mimi binafsi natamani sana Kujifunza kutoka kwake .
Kumbuka Mafunzo haya ni BURE kabisa na yapo kila J'mosi tunakuletea Walimu wa Kitaifa na Kimataifa Kuanzia Saa 8:30 Mpaka 11 Jioni japo kwa J'mosi hii tutawahi Kuanza na pia tutawahi Kumaliza tutamaliza Saa 10 Kamili so Jitahidi Kuwahi.
Kwa Wataofika Kabla ya Saa 9:05 Mchana Watajifunza kutoka Kwangu kwa Uchache Mambo 5 Niliyojifunza kuhusu Fursa.
Cc
Elly David ๐น๐ฟ ๐บ๐ธPROFESSOR)]
15/09/2021
- by
Jumamosi ya wiki hii kwenye Darasa Master Class tutakuwa na Elly David ๐น๐ฟ ๐บ๐ธPROFESSOR)]
MADA: FURSA ZINASABABISHWA.
MUDA : Ni Kuanzia Saa 8:30 Mchana Mpaka Saa 11:00 Jioni, Jitahidi Sana Kuwahi.
ENEO: Ni Sinza Mori, katika Ofisi za Global Publishers.
KIINGILIO: HAKUNA KIINGILIO.
Elly David ๐น๐ฟ ๐บ๐ธPROFESSOR)]
โข
Darasa Master Class hufanyika kila siku ya Jumamos ya kila wiki katika ofisi za Global Publishers zilizoko Sinza Mori, Dar es salaam Tanzania.
10/09/2021
๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ ๐๐ฎ๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐ก๐๐ญ๐ ๐๐ค๐ข๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ก๐๐ฐ๐๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ข ๐ค?.
K**a Jibu ni Ndio Basi Fahamu hili,
Kuna vitu vikubwa vitatu (3) vinavyo amua Mafanikio katika Mauzo ya Biashara yoyote sehemu yoyote ile,
โ๏ธkwanza ni aina ya Bidhaa au Huduma inayotolewa.Hapa tunamaanisha kuna aina ya Bidhaa au Huduma Ukizitoa watu lazima Wanunue watake wasitake Kutokana na Uhitaji wao kwenye Maisha.(Hapa tunaenda Kukufundisha Namna ya Kuchagua Bidhaa au Huduma sahihi kwa wewe Kutoa ili Ufanye Vyema sokoni).
โ๏ธKitu cha pili Kinachoamua Mauzo ni Namna ambavyo watu wanafahamu bidhaa au Huduma yako k**a ipo na hapa ndo utakuta licha ya Kujulikana kwa Makampuni makubwa k**a Voda na Coca bado Wana Bajeti Kubwa sana ya Matangazo Kila Mwaka.Ni Muhimu Kujitangaza Kwasababu Haijarishi una bidhaa nzuri na yenye Ubora kiasi gani k**a tu watu hawajui k**a ipo hawata hitaji.(Hapa tunaenda Kukufundisha Namna ya Kujibrand na Kujitangaza tena bila Kutumia Gharama kubwa).
โ๏ธ Kitu cha tatu kinachoamua mauzo yawe Madogo au Makubwa kwenye Biashara ๐ง๐ข ๐๐ญ๐ฎ ๐๐ง๐๐ฒ๐๐ฎ๐ณ๐ ๐๐ข๐ฒ๐จ ๐๐ข๐๐ก๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐.
โคต๏ธHii ina maanisha kwamba Unaweza Ukawa na Bidhaa bora sana tena inayohitajika na watu Lakini Mauzo yakawa Chini kwasababu tu Unayeuza Hujui namna ya Kuuza, Hujui namna ya Kujibu Vikwazo vya wateja,hujui namna ya Kuwajali na Kuwauzia wateja kutokana na tofauti zao maana kuna aina 10 za Wateja, Hujui namna ya Kutengeneza Mikakati Ya Mauzo na mengine Mengi.
__
๐Ndani ๐ฒ๐ ๐๐จ๐ณ๐ข ๐ก๐ข๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ 7 utakwenda ku๐ฃ๐ข๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐๐ค๐ฎ๐๐ฐ๐ 3.
1. Vitu 10 Wanavyoviangalia Wateja Vinavyowaongoza Kufanya Maamuzi ya Kununua au Kutokununua Bidhaa/huduma fulani kwa Muuzaji.
2. Namna ya Kutangaza Bidhaa au Huduma zako Bila Kutumia Fedha kabisa.
3. Ujuzi Unaoleta Wateja Mitandaoni.
Na Mengine mengi k**a yalivyo hainishwa.
๐ฐDarasa litaanza 19 - 25 Julai 2021.
โโโโโโโโโโโโโ
Watu 15 wa Mwanzo Kujiunga Watapata OFA ya Kufundishwa na kupatiwa ushauri wa Namna ya Kudhibiti Fedha wanazozitengeneza zisipotee.
JISAJIRI SASA #0744126640 au #0779702530
Cc
from
Inaweza Kuwa kazi kupata kazi lakini kamwe haiwezi kuwa kazi kutafuta Kampuni au Taasisi yenye Changamoto ili wewe uwe Suruhisho kwao kutokana na elimu uliyonayo au Profession yako.
Katika Kipindi hiki kipya cha nimefundisha vyema sana makosa wanayofanya Wahitimu wengi yanayo wakosesha Kazi .
Kumbuka unaweza Kujifunza Kutoka kwangu kila wiki Kupitia Channel hii ya Kupitia kipindi cha YouTube.
03/09/2021
๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ง๐๐ฌ๐ฌ & ๐
๐ข๐ง๐๐ง๐๐ข๐๐ฅ ๐๐ฑ๐ฉ๐๐ซ๐ญ ๐น๐ฟ] .user
๐๐ ๐๐ง๐๐ญ๐๐ฆ๐๐ง๐ข ๐๐ฎ๐ฃ๐ข๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ ๐๐๐ฆ๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐๐๐๐ข๐ฅ๐ข ๐๐๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ/๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐๐ฎ๐ฐ๐ ๐
๐๐๐ก๐?.
K**A JIBU NI NDIO NJOO KESHO SINZA MORI SAA 8 MCHANA UJIFUNZE BURE.
Hakuna kati yetu aliyezaliwa Kuwa masikini,Nilicho gundua Umasikini ni Matokeo ya Kushindwa kutatua Matatizo ya watu au Kutatua Matatizo/Changamoto ambazo Hupaswi Kutatua au Haujaumbiwa Kutatua.
๐ Sasa swali ni Je unajua Namna ya Kutatua Changamoto, Je unajua Changamoto unazopaswa Kujikita Kutatua Siku zote za Maisha yako sio leo uko kwenye Changamoto hii kesho unaamia Kwenye Changamoto nyingine.
๐ K**a tunahitaji kufanikiwa Basi tunapaswa Kuzingatia Mambo yafwatayo Kwanza Kutafuta Changamoto tunazoweza Kutatua Vyema Kuliko wengi, Pili tuchague Kutatua Changamoto ambazo watu wengi wanazikimbia Kutatua au Hawawezi Kutatua au K**a tutataka kutatua Changamoto ambazo Kila mtu anaweza Kutatua basi tufikiri namna ya Kipekee Kutatua Changamoto hizo.
๐ Sasa kuna sababu kubwa tatu kwanini Watu Wengi Wanashindwa Kutengeneza Fedha Kupitia Matatizo yaliyopo kwenye Jamii.
โฉ Kwanza Wanaona Matatizo k**a matatizo na sio k**a fursa (Fedha) hivo jifunze Kutafuta fursa katika kila Changamoto.
โฉ Pili Wanaona Changamoto zina wenyewe wa Kutatua wao hawana Uwezo wa Kutatua kutokana na Upungufu wa Fedha, Mtandao wa watu kitu ambacho si kweli.
โฉ Tatu Kutokujua namna sahihi ya Kutatua Changamoto zilizopo yaani Kukosa Utofauti katika Kuzitatua hali inayoleta Ushindani Mkubwa.
๐ Katika Darasa Master Class wiki hii Nitafundisha Hatua za Kubadili Changamoto Kuwa Fedha BURE kabisa Eneo ni lile lile Sinza Mori Ofisi Za Global Publishers Kuanzia Saa 14:30 Mpaka 17:00.
Tafadhari Wahi Sana Kufika Siku Hii Maana Ukichelewa Utakuta Nimemaliza au ndo Namalizaa Kufundisha, Utajilaumu Sana Ukichelewa.
KUMBUKA Semina hizi zinakuwepo kila J'mosi Kuanzia saa 14:30 - 17:00 Sinza Mori Ofisi za Global Publishers tunakuletea Karibu Walimu wakubwa wa Kitaifa na Kimataifa BURE KABISA. .
Follow Us Now
๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ง๐๐ฌ๐ฌ & ๐
๐ข๐ง๐๐ง๐๐ข๐๐ฅ ๐๐ฑ๐ฉ๐๐ซ๐ญ ๐น๐ฟ]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Ubungo Plaza
Dar Es Salaam