27/05/2026
Heri ya Sikukuu ya Eid Al-Adha!
Pre & Primary School under Holy Union Sisters - Tanzania
Motto: "Today's Children, Tomorrow's World"
27/05/2026
Heri ya Sikukuu ya Eid Al-Adha!
01/05/2026
HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI.
Tunaungana na wafanyakazi wote duniani kusherehekea siku hii muhimu kwetu ambayo kitaifa inaongozwa na kaulimbiu: "Kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050"
25/04/2026
Tunaomboleza kifo cha Mkurugenzi wa Shule yetu, Sr. Mairead Mulligan kilichotokea tarehe 24.04.2026. Tunatoa pole kwa uongozi na wafanyakazi wa shule, Masista wa Shirika la Holy Union na wote walioguswa na msiba huu. Tumuombee marehemu Sr. Mairead apumzike kwa amani.
21/04/2026
Tunaomboleza kifo cha Sr. Scholastica Mhea kilichotokea tarehe 18.04.2026. Tunatoa pole kwa Masista wa Shirika la Holy Union na wote walioguswa na msiba huu. Tumuombee marehemu Sr. Scholastica apumzike kwa amani.
07/04/2026
07th April, Karume Day
05/04/2026
Heri ya Sikukuu ya Pasaka!
29/03/2026
Karibuni kwa nafasi za kujiunga na shule yetu. 📚
21/03/2026
Heri ya Sikukuu ya Eid!
08/03/2026
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.
Katika kuadhimisha siku hii muhimu, Mkuu wa Shule (Sr. Glory Beda) amewaongoza wafanyakazi wa k**e na baadhi ya wanafunzi katika zoezi la upandaji miti ndani ya eneo la shule kuashiria mchango wa wanawake katika mazingira.
“Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana: Msingi Jumuishi kufikia Dira 2050”
20/11/2025
Tunamshukuru Mungu na kuwapongeza wanafunzi wetu wa Darasa la Pili kwa kumaliza salama mitihani yao ya upimaji kitaifa (STNA) siku ya jana tarehe 19.11.2025
| Monday | 07:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |
| Wednesday | 07:30 - 15:30 |
| Thursday | 07:30 - 15:30 |
| Friday | 07:30 - 15:30 |
| Saturday | 08:00 - 19:00 |