29/05/2026
Uwakilishi wenye weledi, maono na uzalendo πΉπΏ
Mkurugenzi wa KORESHI DAY CARE akiendelea kushiriki katika shughuli muhimu za maendeleo na uongozi kwa manufaa ya jamii na taifa kwa ujumla.
Tunathamini mchango wako katika kujenga kizazi bora cha kesho. β¨
16/05/2026
Malezi bora huanza nyumbani na kuendelea shuleni β¨
Asanteni wazazi kwa kuendelea kusimama na watoto wetu katika safari yao ya ukuaji na elimu.
Koreshi Day Care inawatakia wikiendi njema na yenye baraka π
β Sospeter Buhuru, Mkurugenzi Koreshi Day Care
15/05/2026
Karibu KORESHI DAY CARE
βMalezi Bora kwa Watotoβ πΆβ¨
Tunajenga mazingira salama, yenye upendo na elimu bora kwa watoto wetu kila siku. π
Mtoto wako anapata nafasi ya kujifunza, kucheza na kukua katika mazingira yenye furaha na uangalizi wa karibu.
β
Malezi yenye upendo
β
Elimu ya awali kwa vitendo
β
Mazingira safi na salama
β
Michezo na ubunifu kwa watoto
β
Walimu wenye uzoefu na kujali
π Location: Airport, Dar es Salaam
π Call / WhatsApp: 0753515321
π Sajili mtoto wako leo nafasi ni chache!
28/10/2025
TANZAMA WAALIMU WAKIWA WANAFURAHI KWA PAMOJA
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.