27/09/2022
Je, Unahitaji Smartphone Yako Ikuingizie Kipato?
Nafahamu Unajaza Bando Mara nyingi, Lakini Mwisho wa Mwaka ushawahi kufanya tathmini Umetumia kiasi gani kwenye Vocha Tu?
Actually ni Hela nyingi sana.
Hiyo Smartphone Yako inayokumalizia Vocha ni Lini itaanza kukuingizia Kipato?
Najua umekutana na Fursa nyingi,
Najua unatamani kufanya biashara Mtandaoni Lakini hujui wapi pa kuanzia...
Duniani, Kila dakika moja inayopita, videos Zaidi ya Milioni 4 zinatazamwa YouTube.
Wewe Ni lini videos zako zitaanza kutazamwa?
Unaweza kuanzisha au kutangaza biashara Mtandaoni lakini k**a hujui kuandaa Matangazo Ya video, Ni vigumu sana kuikuza kwa kasi k**a unavyotamani iwe.
Watu Mtandaoni wataikumbuka Biashara yako kwa asilimia kubwa ukiiweka
katika mfumo wa Video, na
wataikumbuka kwa asilimia chache Sana ikiwa katika mfumo wa maneno
Kupost Video Ni jambo ambalo kila mmoja analiweza....
Ila kutengeneza VIDEO itakayowavutia na kuwashawishi Wateja wengi
wakutafute na kununua Bidhaa/huduma yako Ni Jambo ambalo Wengi
hawaliwezi
Ndio Maana...
Nimekuja kukusaidia
Nimekuandalia Mafunzo yatakayokuwezesha
✅Kuliteka soko la Wafanyabiashara wengi ambao hawajui kuzitangaza
Biashara zao katika mfumo wa video.
✅Yatakuwezesha kuandaa Online Course unazoweza kufundisha wengine na wakakulipa
✅kuendesha Biashara yako (k**a unayo) katika mfumo wa kisasa na
kujitofautisha na wengine na k**a huna kutumia ujuzi huu huu kuwa Biashara rasmi
✅Kupata kazi katika makampuni/taasisi mbalimbali pia hata kwenye
freelancing platform K**a vile upwork, Fiverr
✅Utakuwa Ni mwanzo mzuri wa kufungua YouTube channel Yako hata k**a
hauna Camera Mana utaweza kutengeneza Kupitia Simu yako.
Baadhi ya vitu utakavyojifunza katika Mafunzo haya Ni;
✅Utangulizi wa Video Creation
✅Jinsi ya kuandika Script ya Video inayouza Zaidi
✅Jinsi ya kutengeneza Cartoon Animations
(Whiteboard Animation Logo Animation, 3D explainer,2D&3D Animations)
✅Jinsi ya kutengeneza Tangazo La Biashara Lenye mvuto.
✅Jinsi Ya kutengeneza Logo ya Biashara hata k**a hauna Ujuzi wowote.
Mafunzo Haya Gharama zake Ni Tsh. 80,000/=
Lakini Mimi Nitakufundisha BURE
Kumbuka Darasa hili linahitaji watu 10 tu. Hivyo jiunge sasa
17/04/2022
Je unahitaji kuwa designer mzuri..habari njema ni kwamba kupitia smartphone yako unaweza kutimiza ndoto yako hiyo.
Tahone home teaching tunakuletea mafunzo kabambe ya graphics design kwa kutumia simu yako..mafunzo yote haya yatafanyika online kupitia whatsApp groups
Kupitia kozi hii utajifunza yafuatayo...
➡️ Kutengeneza matangazo.ya kisasa.
➡️Kutengeneza LOGO
➡️ Kutengeneza vyeti
➡️ Kutengeneza Bussiness card
➡️ Kuandaa presentation kwa kutumia simu yako
➡️ Kudesgn animated videos( Videos katika mwendo)
Yote hayo na BONUS kibaoo kwa Tsh 19,000/= tu
Kozi hii si kwa ajili ya kila mtu ni kwa wale wanaopenda kuwa madesgner wazuri na wakisasa kwa kupitia smartphone zao.
K**a na wewe ni miongoni mwa hao unachotakiwa kufanya ni
Lipia Tsh 15,000/= kwenda namba 0684 110 194 jina AYUBU AYUBU
Kisha nitumie sms ya malipo whatsApp kwa kupitia link hapo chini.
https://wa.me/255684110194
Hakika ni wakati wako sasa kutumia smartphone yako kwa faida
05/03/2022
Historia yangu fupi ya kufeli, hakika nilipitia kipindi kigumu sana ...Nilikuwa Napata F somo la hesabu toka nianze kidato cha kwanza....
. Nikifaulu sana ilikuwa D tena ya mwisho mwisho hii hali ilinitesa sana ..na nilikata tamaa kabisa ..
Nilijiona sinathaman tena maana nilisoma tuisheni sana lakin matokeo hayakuwa k**a nilivyotaraji..
Siku moja nikiwa mtandaono nikakutana na Tangazo likisema "Ijue siri ya kufaulu mathematics"...
Basi nikaanza kufuatilia hadi nilipokutana na si Ayoub ..hapo akaniambia siri hiyo...na baadae nilianza na program yake maalum..
Hakika niliona k**a nimechelewa kumfahamu sir Ayoub maana alikuwa na moyo wa kipeekee katika kunifahamisha tena kwa upendo na utu wa hali ya juu..
Nashukuru nilifanikiwa kufanya vizuri somo la hesabu kidato cha tatu na sasa nalipenda sana somo la mathematics ..
K**a nawewe au unamwanao anapitia changamoto k**a nilizopitia mimi usihofu wasiana na sir Ayoub Atakusaidia sana..
Bado hujachelewa wasiliana nae kupitia namba zake hapo chini...0684110194
au gusa link hapo chini..
https://wa.me/255684110194
Itakuleta moja kwa moja whatsApp kisha andika neno SIRI..
05/02/2022
Mfanye mwanao atabasamu kwa kufanya vyema somo la hisabati
Gusa link hapo chini kwa maelezo zaidi
https;//wa.me/255684110194
05/02/2022
Jinsi Ya Kuwa Mtu Mwenye Amani Moyoni.
Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani moyoni ni kuwa mtu unayesamahe wanaokukosea.
Jonathan Lockwood aliwahi kusema...
..“Wasamehe wengine sio kwa sababu wanastahili bali kwa sababu wewe unastaili amani”
(Forgive others not because they deserve it but because you deserve peace).
Kuna watu wengi wanaishi katika vifungo vya uchungu na kutokusamehe.
Wengine hata wameapa kabisa...
..“huyu sitamsamehe kamwe”.
Mara nyingi tunafikiri kutokusamehe huleta madhara kwa yule asiyesamehewa...
..lakini ukweli ni kuwa asiyesamehe ndiye anateseka zaidi.
Na wakati mwingine huweza kuleta magonjwa ya moyo kabisa.
Kusamehe SIO JAMBO RAHISI ila ni la MUHIMU sana katika maisha.
Kusamehe ni kuachilia mtu uliyemshikilia katika moyo wako.
Ni kusema kuwa “Najua alifanya makusudi, hajali k**a amenikosea, ameniletea maumivu na hasara ila nimeamua kumsamehe”.
Mara utakapofanya hivi utashangaa amani ya moyo inaanza kurudi na milango ya baraka inaanza kufunguka.
Kumbuka kwa kanuni ya kiroho ni kuwa “Msipowasamehe wengine makosa yenu, nanyi baba yenu wa mbinguni hatawasamehe”.
Hivi k**a Mungu asipokusamehe makosa yako hadi yale umefanya sirini na hakuna mtu anajua, UTAWEZA KUFANIKIWA KWELI?
Usiwasamehe kwa sababu wanastahili, wasamehe kwa sababu wewe unastahili AMANI.
Inawezekana ni baba aliyekukataa, ni mwenza aliyekusaliti, ni rafiki aliyetumia kukujua kwako kukudhuru, ni mtu wa kazini aliyekusingizia na kukusababishia matatizo, ni mtoto wako n.k
SAMEHE.
MILANGO MIKUBWA YA MAFANIKIO unayoitafuta imefichwa kwenye UTAYARI WAKO wa kusamehe.
Anza leo, fanya sasa hivi, usisubiri muda upite.
Hata k**a haujisikii, mwambie “Nimekusamehe”, tamka kwa sauti “Huyu (jina lake) nimemsamehe”
- Kisha mtafute muambie.
Wengine watakuona MDHAIFU ila wenye NGUVU tu ndio wana uwezo wa KUSAMEHE.
Kwa wanaohitajo hudu.a ya home teaching linkhapo chini..
Ni kwa Basic mathematics tu..kwa Oleval tu.
https;//wa.me/255684110194
rehesha furaha yako Leo.
27/01/2022
Je wewe ni Qt,Resiters,au Upo Oleval..huna mda wa kwenda Tuition,Uko bize na Kazi...na unahitaji kusoma Mathematics Ukiwa nyumbani kwako..
Habari njema ni kwamba Sir Ayoub Ayoub Ameakuandalia program ambayo atakufuata hadi ulipo na kukufundisha na kuelewa vizuriMathematics..
Sir Ayoub ni mwalimu wa mathematics kwa shule za sekondali kwa kidato cha kwanza hadi cha nne...na Anauzoefu wa kutosha kabisa zaidi ya miaka 3 akifundisha Mathematics..
Jifunze leo ukiwa nymban na uondoe hofu ya kufeli Mathematics..
Tuna nafasi 5 tu Changamkia fursa hii adhimu
Kwa maelezo zaidi gusa link hapo chini. Itakuleta moja kwa moja WhatsApp kisha andika neno HOME...
https://wa.me/255684110194
Karibu Ujifunze na Sir Ayoub Ayoub