27/09/2024
https://youtu.be/m3aIYHI1aMU?feature=shared
JIFUNZE KINGEREZA KWA NJIA RAHISI,SOMO LA1, SALAMU
KASOME IPO PLAYSTORE TAYARI Kasome ni maktaba ya video za masomo ya secondary zilizorekodiwa na walimu nguli, wazoefu na wababe kuyafundisha masomo, kwa leng...
07/08/2024
https://youtu.be/bjRAuuc4u_0?si=AMokpItUH5sft9fo
Kazi iendelee
JIFUNZE KIINGEREZA KWA NJIA RAHISI, somo la tatu Dialogue 1
Jifunze kozi ya Kiingereza na masomo yote ya Sekondari kwa njia rahisi, pakua App yetu playstore inaitwa 'Kasome" kuna video zote na kozi zilizokamilika kwa ...
12/11/2020
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyo kifani tunawajulisha wanafunzi wote na wapenzi wa teacher Muddy Physics cammissioner kwamba ametutoka na mazishi ni leo hii nyumbani kwao Mwandege baada ya Mbagala na Kongowe, ukifika Mwandege magengeni ingia kushoto kisha uliza msikiti wa Sunni
RIP Mwalimu Muddy
09/04/2020
Tupigie kwa whatsapp 0715073780 au 0753073780
05/04/2020
Hatua za kujisajili
1. Sign up kisha ujaze taharifa zako zote bofya hapa
https://www.kasome.com/home/sign_up
2.pili usubiri k**a dakika tano kisha ukafungue email yako utaona website imekutumia link ambayo iyo link ni muhimu kuibofya ili ku verify account yako.
Ukibofya tu iyo link utaona website imefunguka na tayari utakuwa ndani ya account yako na unaweza kwenda kuchagua video za kuangalia
3. Tatu Endapo ulitoka(log out) na ukataka kurudi kutumia account(kuangalia video) kwenye tovuti bofya Sign in hapa katika link hii
https://www.kasome.com/home/login
na hapo sasa ndiyo unaweza kuweka email yako kisha na password na kuendelea kutumia.
4. Ifuatilie hii video inaelekeza vizuri jinsi ya kutumia tovuti yetu bofya hapa ktk link
https://youtu.be/CoLV64Sx2qA
Kila la heri.
Jinsi ya kutumia tovuti ya kasome.com kwa simu yako
Ni muhimu sana mwanafunzi au mzazi kuwa na email ili kuweza kujisajili kwani baada ya kujisajili (sign up) website itakutumia ujumbe katika email yako ili ki...