28/10/2025
βUnajua menu yako inaweza kuuza chakula kabla hata mteja hajaonja?
Hii ndio tunaita Menu Engineering β uchambuzi wa sahani zako ili ujue ipi inaleta faida kubwa zaidi.
K**a unamiliki catering business au restaurant, hii ni sayansi ambayo inabadilisha game kabisa!β
π― Key Point:
Menu engineering = profit + popularity analysis.
Lengo: kujua sahani ipi inauza, ipi haileti faida.
> βKesho tutaongelea Menu Matrix β Stars, Dogs, Plowhorses na Puzzles.
Ukiwa serious na food business yako, usikose!
Jiunge na Catering Business Master Class kwenye WhatsApp Live kwa gharama ndogo sana.
Link ipo Kwa bio!
14/08/2025
π₯ Leo Saa 9 Kamili!
"Watu hawakumbuki bei ya chakulaβ¦ wanakumbuka hadithi nyuma yake." π₯π
Tunaingia deep kwenye Storytelling Marketing β jinsi ya kuuza kwa hisia, sio promo pekee.
π― Catering Business Master Class β WhatsApp Group
Usikose, hii ndiyo formula inayogeuza followers kuwa wateja wa kudumu! π
06/08/2025
π Don't just collect likes β collect clients!
Leo tunadondosha mbinu kali za Email Marketing & Event Funnel Strategy kwa Biashara ya Catering π§ π½οΈ
Unatoka na system ya kugeuza inquiries kuwa full bookings π₯
β° Class inabamba Saa 3 Kamili usiku huu kwenye WhatsApp Group
π Jiunge sasa kabla haujachomwa!
29/07/2025
π£ LEO Saa 6 Mchana β Master Class ya Catering Business π
Somo: Video Testimonials & Social Proof β Kuaminika Ndiyo Msingi wa Uuzaji Online
Unapika vizuri? Basi tuonyeshe watu wanaosema hivyo! π₯
Leo tunafundisha:
β
Mbinu za kupata ushuhuda wa wateja kwa video, maandishi & picha
β
Jinsi ya kuandaa testimonials zenye kuvutia wateja wapya
β
Mahali sahihi pa kupost β Instagram, TikTok, WhatsApp, Website
β
Bonus: Script rahisi ya kumuongoza mteja wako kutoa ushuhuda π¬
π― Target ni moja tu: Kuaminika + Ushuhuda = Booking Zinaongezeka!
π Assignment ya vitendo itahakikisha unafanya, si kusikia tu.
π Jiunge sasa β usikose hii nondo ya kuuza bila stress.
ππ²
24/07/2025
π½οΈπ₯ Leo tunatandika meza ya wateja waliopotea ladha!
Saa 1 jioni kwenye Catering Business Master Class, tunawasha jiko la kimkakati kufundisha:
π² Jinsi ya kuwavuta tena wateja waliowahi kuomba menu yako lakini wakatoweka kimyakimya
π² Kutumia WhatsApp Broadcast k**a serving tray ya ofa tamu β bila kuwa spammy k**a mabango ya mitaani
π¨πΎβπ³ Kupika Ads zinazolenga waliowahi kuonja ladha yako lakini hawakuchukua sahani
π‘ Biashara ya chakula siyo kubahatisha β ni kupika na precision k**a Michelin Chef!
Usiwachelewe wageni waliowahi kuulizia β watendee k**a wageni VIP kwenye buffet ya kimataifa.
πLeo saa 1 kamili β jikoni tunachoma akili, si nyama tu!
π₯ **aChef