The Technician

The Technician

Share

Pata ufafanuzi wa vitu mbali mbali vinavyohusu Computer | Pata suruhisho la matatizo ya computer na jinsi ya kuifanya computer iwe bora kila mara.

07/11/2019

Je, unahitaji kuongeza nafasi kwenye computer yako????
👇👇👇👇
TUANGALIE JINSI YA KUONGEZA NAFASI (SPACE) KATIKA HARD DISK DRIVE.
Kuna njia kuu tatu ambazo hufanya computer yakoiweze kuongezeka nafasi (Space) na uweze kuitumia bila kukwama kwama kunakotokana na kujaa kwa Hard disk drive.
1. Kusafisha Disk (Disk Cleanup)
2. Kujaza nafasi zilizowazi pindi unapofuta kitu kwenye computer hususani programs (Disk Defragment).
3. Kupunguza partition kwenye hard disk drive.

KUSAFISHA DISK (DISK CLEANUP)
Hii ni njia ambayo mtumiaji wa computer anatakiwa kuifanya pindi aonapo disk yake imejaa. Hatua za kufuata wakati wa kusafisha disk (disk cleanup).
Click and Open Computer (My computer/This PC)
Click and right click on Local Disk (C:)
Click properties
Click Disk Cleanup
Weka alama ya tiki kwenye visanduku vyote.
Click OK
Kwa kufanya hivyo utakuwaa umeweza kusafisha disk yako kwa njia salama zaidi.
Soma zaidi hapa
👇👇👇
https://tthetechnician.blogspot.com

04/11/2019

Jinsi ya ku update drivers za computer
Kuna njia muhimu mbili za ku update driver za computer nazo ni
1.Kwa kutumia device manager
2.Kwa kutumia application za ku update drivers k**a driver pack solution, Free driver scout, Driver identifier, driver robot etc.

Kwa njia ya device manager hii inakusaidia kuangalia driver zako na kuona k**a kuna ambazo hazipo au zimekwisha muda wake (out of date)
Jinsi ya kufanya ni:
1.Click Start button
2.Click computer
3.Right click
4.Click manage
5.Click device manager
Then ukifika kwenye update driver there kuna njia mbili za kufanya update
1.Search automatically for updated driver software. Hapa uta update automatically kwa kuipata kutoka mtandaoni.
2.Browse from Computer for driver software manually. Njia hii ni ya kutafuta kutoka kwenye computer ikiwa ume download device driver update.
Soma zaidi
👇👇👇
https://tthetechnician.blogspot.com

02/11/2019

Karibu kwenye page yetu pendwa itakayokufafanulia na kukujulisha matatizo ya computer na jinsi ya kuyatatua. Njia sahihi za utatuzi wa matatizo mbali mbali ya computer pamoja na kukupatia ushauri juu ya matumizi mazuri ya computer yako.
Karibu uwe nasi kwa siku zote
Like 👍 share & comment kwenye page yetu ukiwa na swali au ukihitaji ushauri au maoni.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255