09/01/2022
Learn a Skill for Life | Pata Ujuzi kwa Maisha piga 0719222998
Tunakufundisha kutumia programu za Kompyuta kwa ajili ya kurahisisha na kuboresha kazi zako, miongoni mwa Programu hizo:
- Microsoft Word (Word documents)
- Microsoft Excel (Calculations and statistics)
- Microsoft PowerPoint (Presentations)
- Adobe Photoshop (Graphics design)
- Adobe Indesign (Publications design)
- CorelDraw (Graphic design)
- Adobe Illustrator (Vector Graphics design)
- Intuit Quickbooks (Accounting Package)
- Tally (Accounting Package)
- Basic Computer Skills
- WordPress (Website design)
09/01/2022
Learn a Skill for Life | Pata Ujuzi kwa Maisha piga 0719222998
Tunakufundisha Njia Sahihi na Bora za kufuga:
- Kuku wa Mayai
- Kuku wa Nyama (Broila)
- Kuku wa Kienyeji
- Ng'ombe wa Maziwa
- Sungura
- Mbwa
- Mbuzi
- Bata
- na Kutunza Paka
We teach you how to best keep:
- Egg Chicken (Layers Chicken)
- Broiler Chicken
- Village Chicken (Local Chicken)
- Milk Cow (Dairy)
- Rabbits, Dogs, Goats, Ducks and Cats
09/01/2022
Jifunze Ujuzi kutoka kwetu tupigie kwenye 0719222998
- Misingi Ya Ujenzi
- Misingi Ya Kupaka Rangi
- Misingi Ya Umeme
- Misingi Ya Useremala
- Mambo Ya Msingi Ya Kuyajua k**a una miliki gari
- Utunzaji Wa Bustani
14/10/2021
USEREMALA – CARPENTRY
Ongeza Ujuzi binafsi kwa kupata darasa la Misingi ya Useremala kutoka kwa Mtaalam wetu wa Useremala. Darasa letu la Useremala litakuwezesha kufahamu namna ya kutumia vifaa mbalimbali vya useremala pamoja na kutengeneza vifaa vidogo vidogo k**a Meza na stuli kwa ajili ya uelewa au darasa la vitendo.
Kumbuka unapojifunza au utakapowafunza vijana wako useremala utakua umejiongezea au kuwaongezea Ujuzi wa ziada ambao utaweza kusaidia katika shughuli mbalimbali pale Ujuzi huo utakapohitajika.
Majumbani tunaishi na samani nyingi za tofauti k**a vile meza, viti, masofa, kabati na hata vitanda, hivyo basi kupatikana mtu mwenye ufahamu wa namna zinavyotengenezwa ni muhimu katika nyumba ambapo anaweza akatumika pale kwenye dharula au kwenye mahitaji ya kawaida.
Ibrahim Mdoe nitakuletea darasa mpaka ulipo ili uweze kusomeshwa katika mazingira rafiki na tulivu kwako, tupigie simu sasa tuweze kupanga.
**************************
ENGLISH
**************************
Add Personal Skills by getting a Carpentry Basics class from our Carpentry Specialist. Our Carpentry Class will give you an idea of how to use a variety of carpentry tools as well as make small tools such as Tables and chairs for comprehension or practical classes.
Remember that when you study or teach your teens carpentry you will have added or added additional skills that will help you in various activities when that skill is needed.
At home we live with a lot of different furniture such as tables, chairs, sofas, cabinets and even beds, so finding someone who knows how they are made, is important in a home where he can be used where there is an emergency or in normal needs.
Ibrahim Mdoe I will bring you a class where you are so that you can be taught in a friendly and quiet environment for you, call us now so we can plan.
11/10/2021
Ibrahim Mdoe anakuletea darasa tofauti za Programu za Kompyuta ili kukuwezesha kuitumia Kompyuta kwa uzalishaji na ufanisi wa hali ya juu. Programu za Kompyuta zitajumuisha Programu za matumizi ya Kiofisi na Mahesabu, Programu za Picha na Video, Programu za Mitandao, Programu nyingine tofauti, mfano wa Programu hizo ni k**a Ifuatavyo:
Microsoft Word, Programu hii ni maalum kwa ajili ya
TUNAKUFUNDISHA PROGRAMU ZA KOMPYUTA
Ibrahim Mdoe anakuletea darasa tofauti za Programu za Kompyuta ili kukuwezesha kuitumia Kompyuta kwa uzalishaji na ufanisi wa hali ya juu. Programu za Kompyuta
11/09/2021
Welcome to Ibrahim Mdoe Life Skills Company
11/09/2021
Ufugaji ni eneo muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku, Ufugaji unaweza ukawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani au kwa ajili ya kufanya biashara, na umuhimu wa ufugaji unafika mpaka kwa wasiofuga kwa sababu kupitia ufugaji ndio wanapata bidhaa k**a maziwa, nyama, mayai na bidhaa nyingine zitokazo na ufugaji.
ibrahimmdoe.com