11/10/2024
''Kuna maamuzi yatakuletea maumivu makali sana ila ni muhimu ili usonge mbele kwasababu hakuna kisicho na maumivu, kuna maamuzi mengine yatakutenga na wengine hata na jamii ila ni ya Muhimu kwa mafanikio yako, kuna maamuzi yatakufanya uonekane wa tofauti na msaliti ila ni muhimu kwa kesho yako, usiogope'' β€οΈ
12/03/2022
27/07/2020
24/05/2020