Hekima de Wisdom
Ushauriii na hekima
Zaburi127,mwenyezi mungu asipo ulinda mji waulindao wanakesha bure,mwenyezi mungu asipo ijenga nyumba wajengao ni sawaa na bure 2fanye kazii katika sifa na utukufu wa mwenyezi mungu hata k**a 2mejawa na changamot nying hekima itawale
Unapowazia ya duniani kumbuka piah na mbingu inakuwazia wew
05/03/2021
Fumbo kuu la Iman ni maisha kwhayo 2amini kwaza ndo 2tafte
Malengo
Nyeho is
16/02/2021
Kwasababu Hujibiwi
Kwasababu wenzako wamejibiwa lakini wewe bado
Kwasababu umeombewa sana, na matokeo hakuna
Na sadaka za kutosha umetoa,
Machozi umemwaga ya kutosha.
Usiache kuendelea kuomba
Usiache mifungo
Usiache kumtafuta Mungu
Usiache kuendelea kutoa sadaka
Usichoke wala kukata tamaa
Kuna saa Yako ya kujibiwa.
Kuna saa Yako ya Kicheko
Kuna saa Yako ya kufutwa machozi
Kuna saa Yako ya kusema baba umejuwa kunifurahisha..
Hata Sara alingoja mtoto miaka nenda miaka rudi. Na saa yakujibiwa hakuamini k**a ni yeye aliyekuwa mzee.
Like page hii Mch kalisti kwa kubonyeza hilo jina. Kisha kitufe cha 👍 kiko ndani ya page hiyo. Baada ya kubonyeza jina hilo. Kisha share na ujumbe huu ili kuwatia moyo wengine. Asante
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Website
Address
Ihalimba
Dar Es Salaam
RIGHT