East Africa College of Business

East Africa College of Business

Share

East Africa College of Business
Ibra Complex Plot No. 27 Block 1 VETA Chang’ombe Rd. P. O. Box 20881,

20/06/2023

Dirisha la Usajili wa wanafunzi kwa Muhula wa septemba liko wazi ,

EastAfrica College of Business Tunakuhakikishia kukupatia elimu ya ujasiriamali na usimamizi wa biashara kwa vitendo kabisa , yaani kwa wanafunzi watakao chukua kozi ya Business Administration kwa ngazi ya Diploma na Certificate.

Lakini pia tumeandaa vitendea kazi na miundo mbinu wezeshi kwa wanafunzi wanaochukua kozi ya information Technology kuhakikisha wanamaliza Elimu yao wakiwa wabunifu na uwezo kwenye masomo ya vitendo yani Kutengeneza tovuti / website , kutengeneza Mifumo / System development , Application Development , Digital marketing , system security pamoja na Networking

Chagua East Africa College of Business
kwa uhakika wa kuajiriwa na kujiajiri 📑🚀

Tunapatikana Chang'ombe jirani na Veta

+255 766 342 755

04/06/2023

Nafasi Za Masomo ya Ajira na Kazi Chuo cha East Africa College of Business (EACB) kinakukaribisha Mhitimu Kidato IV&VI na pia walioko kazini kwa course Certicate & Diploma fani za ICT na Business Administration. Muhula ni Sept 2023 Chuo kimesajiliwa NACTVET. Ada zetu ni nafuu na Walimu wabobezi. KARIBU CHUONI TUTAKUSAJILI tupigie simu 0766342755 au tovuti www.eacb.ac.tz barua pepe [email protected] unaweZa kutupata kwenye ukurasa wetu wa faceBook na Instagram.

Instagram: https://instagram.com/eacbtz?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Facebook: https://fb.watch/kWJSsPw0BU/?mibextid=qC1gEa

Chuo kipo Keko Jirani na VETA makao makuu Karibuni sasa EACB.

21/04/2023

Tunawatakia Eid Mubarak waislamu wote 🙏

Photos from East Africa College of Business's post 11/04/2023

Maarifa ni msingi mkuu wa mafanikio yako,
ongeza maarifa yako kupitia mafunzo ya muda mfupi yanayotolewa katika Chuo chetu cha
East Africa college of Business

JISAJILI SASA.

Wasiliana nasi 0766 342755

11/04/2023

Register Now.
For Short Course

* Jisajili sasa kwa Mafunzo ya Muda mfupi*

Ongeza uwelewa na weledi katika shughuli zako za kila siku.

07/04/2023

Tunawatakia Maadhimisho mema ya siku ya Karume 7, April

25/03/2023

Je una D-4 katika ufaulu wako wa kidato cha nne , Sasa unaweza kujiunga na masomo katika chuo cha East Africa College of Business (EACB).

Kwa ngazi ya :
- DIPLOMA &
- CERTIFICATE

Katika kozi zifuatazo
- Business Administration
- Information technology

Wanafunzi 40 wa kwanza kujisajili watapata nafasi ya scholarship. Wahi sasa nafasi ni chache. Utakua sponsored kwa kiwango cha Asilimia 20% ya Ada.
-

Wahi sasa nafasi ni chache
Namba za ofisi ; +255 766 342 755
Email : [email protected]
Website : www.eacb.ac.tz

22/03/2023

Tunawatakia mwezi mwema mtukufu wa ramadhani Allah awafanyie wepesi waislam wote 🙏

10/03/2023

Uongozi wa chuo cha East Africa College of Business kilichopo chang'ombe jirani na Veta kinakutangazia nafasi za masomo kwa ngazi ya certificate na diploma , Mwisho wa usajili ni tarehe 12/03/2023.
Katika kozi zifuatazo
- Business Administration &
- Information and communication technology (ICT)
........
Kwa maelezo zaidi fika chuoni
au piga simu ya ofisi +255 766 342 755 .
Tembele touti ya chuo www.eacb.ac.tz
Email ya chuo: [email protected]

09/03/2023

Uongozi wa chuo cha East Africa College of Business kilichopo chang'ombe jirani na Veta kinakutangazia fursa za masomo yaani (scholarship) kwa ngazi ya certificate na diploma , Mwisho wa usajili ni tarehe 12/03/2023.
Katika kozi zifuatazo
- Business Administration &
- Information and communication technology (ICT)
................................................................
Kwa maelezo zaidi fika chuoni
au piga simu ya ofisi +255 766 342 755 .
Tembele touti ya chuo www.eacb.ac.tz
Email ya chuo: [email protected]

JISAJILI SASA 20/09/2022

Ni mafunzo yatakayo Ambatana na namna ya kukua na kuweza kujiendesha kwenye swala zima la ujasiriamali, Wakufunzi wataeleza mbinu mbadala ambazo zitakupa mwamko mkubwa na uelewa madhubuti juu ya Ujasiriamali,
Ewe kijana ewe Mjasiriamali ni Fulsa yako sasa kujisajili na uweze kuongezewa maarifa yatakayo kufikisha kwenye kilele cha mafanikio.

FAIDA ZA KONGAMANO HILI LA MAFUNZO
✍️kupanua uelewa kwa wa jasiriamali, wote .

🪛 Kueleza namna ya uthubutu kwa vijana na wajasiriamali wote
✍🏾 kuelezea mbinu mbadala za kuweza kujipatia mtaji kwa wajasiliamali

✍🏾Mbinu zitakazo weza kutengeneza mtandao mzuri wa biashara yako

✍️ Ni namna gani unaweza wasiliana biashara yako sokoni na ikaleta taswira chanya pasipo tegemea

✍️Namna ya kutafuta masoko ya biashara yako
✍️Jinsi au namna ya kutumia Fulsa k**a mjasiriamali.

✍️ Tutafundisha swala zima la ujasiri wa kibiashara na namna ya kuiwasilisha biashara yako kwenye masoko
✍🏾Tutafundisha ni kivipi unaweza kutumia mtandao k**a sehemu ya kupata wateja na mauzo ya biashara
✍️ Tutafundisha namna ya kutambua bidhaa / biashara yako katika ushindani wa Masoko.

NJOO UPATE ELIMU KUTOKA KWA WAFANYA BIASHARA NA WAKUFUNZI MASHUGHURI WALIO BOBEA KWENYE ELIMU YA UJASIRIAMALI .

MAFUNDISHO HAYA YATAFANYIKA
Tarehe 24.09.2022
Siku ya Jumamosi

🛑 Fanya usajili :
kwenye hii link na Utapata mwongozo wa namna
Ya kufanya malipo

http://bit.ly/3RKyyoB

Maelezo zaidi tupigie simu namba 0769 947634

JISAJILI SASA Jaza taarifa zako zote Muhimu kutokana na fomu inavyohitaji

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


P. O. BOX 20881
Dar Es Salaam
456