Infopreneur Tanzania

Infopreneur Tanzania

Share

Digital marketing education services

28/08/2022

MATANGAZO YA VIDEO NA PICHA KWENYE FACEBOOK NA INSTAGRAM

Linapokuja suala la matangazo ya video kwenye mtandao wa META sio tu hufanya vizuri zaidi, lakini jukwaa hili linaonekana kupendelea video zaidi kuliko picha.
Vipengele k**a vile Facebook Watch, Facebook Live, Insta Live, Reels na Hadithi zote zinalenga maudhui ya video.

Haishangazi kuwa matangazo ya video yana ufikiaji wa juu wa zaidi ya 30% kuliko matangazo ya picha.

Utafiti uliofanywa na Biteable umeonyesha kuwa video zinaweza kuongoza mara tatu zaidi ya picha.
Video pia zina uwezo wa kutoa clicks zaidi - karibu mara tano zaidi ya picha.

Takwimu kwenye picha hapo juu baada ya kuwahoji wafanyabiashara zinaonesha👇👇

Waliosema Matangazo ya video ni 59.3%

Waliosema Matangazo ya picha ni 29.6%

Waliosema hakuna utofauti ni 11.1%

K**a unahitaji ujifunze kutengeneza matangazo bora ya video basi karibu uwasiliane nasi 0682423343

28/08/2022

Hapa Tanzania hata ukimchukua mtoto mdogo ukamuuliza kuhusu mitandao ya simu lazima atakwambia kuna VODACOM, TIGO, N.K

Kila mmoja wetu hapa na nchi nzima tayari tunajua VODACOM NA TIGO lakini wanaendelea kujitangaza mpaka kesho, yaan kila unapopita kuna matangazo yao kutwa.

Kwanini wanafanya hivyo?
; Kwasababu Biashara ni matangazo;

Sasa wewe biashara yako inajulikana na watu ambao hawafiki hata 100,000 lakini hujitangazi kabisa na umerifhika😂😂.

Pole sana ndugu yangu; Nakukumbusha tu kuwa biashara sio tu ni Matangazo, bali matangazo ni uti wa mgongo kwa kila biashara hapa Duniani

24/08/2022

K**a zilikupita ofa za nyuma hii isikupite, gusa WhatsApp ili uwahi nafasi ya kujifunza kuhusu matangazo ya kufadhiliwa bure kabisa

22/08/2022

JE UNAHITAJI KUNASA WATEJA WENGI MITANDAONI? Kwa ada ya 53,000/= tu tutakufundisha kila kitu kuhusu matangazo ya kulipia, gusa neno SHIRIKI kuwahi nafasi

19/08/2022

Je unahitaji kuongeza wateja zaidi? Wahi ofa ya mafunzo kwa 25,000/= tu kwa watu 10 wa mwanzo.

10/08/2022

JE UNAHITAJI KUONGEZA KIPATO AU KUKUZA MAUZO YAKO? Njoo ujifunze sponsored ads na smartphone video creation kwa ada ya punguzo 53000/= tu badala ya 345,000/=, Mafunzo ni online

04/08/2022

Wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamekuza mauzo yao kupitia mafunzo yetu ya meta sponsored ads. Je na wewe unahitaji kujifunza?.

03/08/2022

Pata offer ya punguzo la zaidi ya 70% kwenye mafunzo ya kukuza mauzo kupitia matangazo ya kulipia (sponsored ads) kabla ya week hii kuisha.

30/07/2022

K**a unatamani kuongeza mauzo au kipato kwenye biashara yako?, wahi punguzo la ada ya mafunzo ya sponsored ads na smartphone video creation kabla ya week kuisha

29/07/2022

JE UNGEPENDA KUTENGENEZA PESA KUPITIA SMARTPHONE?
Wahi punguzo zaidi ya 77% ya ada kwenye mafunzo ya kutengeneza pesa kwa kutumia smartphone kabla ya week hii kuisha

28/07/2022

Infopreneur Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

26/07/2022

JE WEWE NI MFANYABIASHARA AU MJASIRIAMALI NA UNATAMANI KUTANGAZA BIASHARA YAKO KUPITIA SPONSORED ADS?

K**a jibu ni ndio basi ujumbe huu ni mhimu sanaa kwako

Infopreneur Tanzania tunatoa huduma za aina mbili kuhusu sponsored ads yaani

1. Kufundisha
2. Kutengeneza au kutatua changamoto zinazohusu sponsored ads.

Baadhi ya vitu tunavyoshughurika navyo ni pamoja na

✅Kutengeneza business account na kuunganisha na account zako za matangazo sehemu moja

✅Elimu na ushauri kuhusu njia sahihi ya malipo ya sponsored ads (utaitengenezaji kadi ya kufanya manjnuzi mtandaoni)

✅Uandaaji wa script za video kwa ajili ya matangazo

✅Kutengeneza video nzuri za 2D, 3D na WHITEBOART ANIMATION zenye mvuto kwa wateja utakazotumia kwenye matangazo

✅Kufuta madeni makubwa kwa waliolemewa katika account zao za matangazo

✅Kutatua matatizo yote yanayohusu sponsored ads mfano account ya matangazo kuwa RESTRICTED, DISABLED, YOU CAN'T RUN ADS, ADS ACCOUNT NOT FOUND na mengine mengi.

Kwa kawaida mafunzo huwa tunatoa kwa gharama ya laki mbili na thelathini (230,000/=) ila k**a unahitaji kujifunza utapata offer ya punguzo la hadi 90% na utalipia elfu ishirini na tatu tu.

Kuwahi offer hii bonyeza kibatani kilichoandikwa WHATSAP au tutafte whatsap kupitia namba +255682423343

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam