02/12/2024
Karibu kwenye ukurasa wetu wa !
Tunawaalika kwa moyo mkunjufu kushiriki nasi katika safari ya kujifunza na kutafakari maneno matukufu ya Allah. Pamoja tutaimarisha imani, kueneza upendo, na kujifunza zaidi kuhusu Qur'an na mafundisho yake.
Jiunge nasi kupitia links hizi:
Ukurasa wa AswatulQuran
Kundi la AswatulQuran
“Na shikamaneni na kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarakane.” (Surat Aal Imran: 103)
Tukaribishe nuru ya Qur'an katika maisha yetu. Tafadhali jiunge na tushirikiane katika kheri.
01/12/2024
Umoja wa Vijana Aswatul Quran
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu. Umoja wa Vijana Aswatul Quran ni mwavuli wa nuru na kheri, mahali ambapo vijana wanashikamana kwa lengo la kutafuta radhi za Allah.
Kushikamana kwetu ni nembo ya umoja, upendo, na mshikamano unaochochewa na mafundisho ya Kitabu Kitukufu. Tunahimizana mema, tunapendana kwa ajili ya Allah, na tunakumbukana katika dua zetu.
Katika umoja huu, tunahamasishana kuwa viongozi wa umma wenye hekima, wachamungu, na watumishi wa dini kwa vitendo vyetu. Tunazingatia kuimarisha udugu wetu kwa kushirikiana, kusaidiana, na kuelimishana kwa misingi ya Quran na Sunna.
Ewe kijana wa Aswatul Quran, kumbuka kuwa umoja ni nguzo ya nguvu zetu, na kupendana ni ishara ya uchaMungu wetu. Tuendelee kushikamana na kusaidiana kwa lengo la kufanikisha malengo ya dini yetu tukufu.
"Shikamaneni kwa kamba ya Mwenyezi Mungu nyote, wala msifarakane..." (Quran 3:103)
02/01/2023
Assalaam Aleykum Warahmatullahi Wabaraqatul
Mape Rashid.📶 Rahma Nguo.📶 M***a Gaucho.📶 Marora Mwinduchi 📶 Israah Khoobsurat 📶
MWALIM NA WANAFUNZI WAKE HAKIKUHARIBIKA KITU
NDANI YA KIKUNDI CHA QASWIDA Firqat Tam'bihi L-umma. KINACHOPATIKANA BUGURUNI MNYAMANI
BY_AFISA_KHABARI Issa Muhammad
MUDIRU_WA_KIKUNDI
02/01/2023
Assalaam Aleykum Warahmatullahi wabaraqatu
Katika Uzinduzi wa Album Ya Firqat Tam'bihi L-umma Tulikuwepo na tulifurahi pongezi kwenu ndugu zetu walimu wetu Khassatan Maalim Mape Rashid Tumeona Jitihada zenu Allah Awasimamie Ameeen
KWA RAHA IZI HAKI YETU KUDAI SEASON 2
BY AFISA KHABARI Issa Muhammad
MUDIRU Marora Mwinduchi
Umôjå Wã Vîjãñā As-wåtûl Qur'an
09/11/2022
Assalama Aleykum
Tunapenda kuwajurisha kwamba Marora Mwinduchi Ibrahim Shaban Wameenda kutuwakilisha tanga Tunawaomba wafike Salama Na Warudi Salama Ameen
Whatssap link
https://chat.whatsapp.com/BMx1jE9CrZC4mdqsNP9cGA
FACEBOOKhttps://www.facebook.com/profile.php?id=100083105186474
page
https://www.facebook.com/groups/1541297646303876/?ref=share
YouTube
https://youtube.com/channel/UColzGNTZtl56de0t7q2IKyA
By Afisa Khabari na mawasiliano
Abuu khuzaymar
08/10/2022
Siku Ya Kesho Inshaallah Tutakuwa Nida Mapema Sana Inshaallah
21/09/2022
IKIWA K**A SISI WANA Umôjå Wã Vîjãñā As-wåtûl TUNATAMBUWA UWEPO WAKO KWENYE KIKUNDI CHA Firqat Tam'bihi L-umma ALLAH AWAPE NGUVU KWENYE LENGO LENU INSHAAALLAH
Habari yako!!!
nipende kuchukua nafasi hii kujitambulisha kwako Kwa majina naitwa *MARORA KHATWIB* ni msanii wa kaswida kutoka ktk kikundi Cha Firqat tan,bihil umma kikundi ambacho tunatarajia kuzindua album yetu tar 17/12/2022 hivyo kuelekea katika uzinduzi huo Kaa tayari kupokea kazi yangu mpya itakayotoka hivi punde na pia nikuombe usambaze post hii Ili ujumbe uwafikie na wengine pia usisahu kutufatilia ktk page yetu ya fb inayotambulika Kwa jina la Firqat tan,bihil umma Ili upate update zetu
21/09/2022
Ukiwa K**a Mwana Group La FANSI unakaribishwa kuwa mwanakikundi kwa malengo haya
Kwa wanaume kujuwa dufu kuimba kupiga Nai nk
WHATSSAP GROUP https://chat.whatsapp.com/BMx1jE9CrZC4mdqsNP9cGA
20/09/2022
Umôjå Wã Vîjãñā As-wåtûl
UNAPENDA KUKUTANGAZIA KWAMBA TUNAFANYA USAJIRI WA WANAKIKUNDI UNAKARIBISHWA KUWA MWANA KIKUNDI WETU FIKA BUGURUNI MNYAMANI MTAA WA BELEGE NDO TULIPO NA UTAPATA FOMU KWA SHILINGI ELFU MOJA HII NI OFAA
HAIJAWAHI KUTOKEA NYOTE MNAKATIBISHWA WAKE KWA WAUME
://chat.whatsapp.com/BMx1jE9CrZC4mdqsNP9cGA