WATOTO WATUNDU
Ni watoto watatu mashahidi wanaojifanya wajanja kwa kumlaghai muuaji.
Ni simulizi itakayokupa kihoro na kukufanya usitulie kitini kwa hofu.
Ni hadithi ya kutisha na kusisimua mwili hadi vinyweleo kukusimama. Ndani ya kisa hiki hakuna mtu asiye na hatia.
Je hatima yao itakuwaje?
Na je muuaji ataingia kwenye mtego wa watoto?
Usiumize kichwa kwa kujiuliza maswali mengi kwani kuna njia moja tu ya kujua yote haya.
MTIGA Abdallah
Official Page Of MTIGA ABDALLAH
21/04/2022
.
THE REAL DEAL
Soon Yajayo Yanafurahisha Be Tuned.
18/10/2021
Download All status; facebook, instagram, whatsapp, likes, tweeter and tiktok click this link.
Kuna Wakati Utakata Tamaa ya Maisha Yako, Kuna Wakati Utahisi Unaonewa, Kuna Wakati Utalia kwa Uchungu na Pia kuna Wakati Utahisi Dunia Yote Imekutenga
Mshukuru Mungu kwa Kukupitisha Katika nyakati ngumu kwasababu zitakufanya kuijua rangi halisi ya Ulimwengu na Kumbaini yupi wa kukaa nae mbali.
01/11/2020
TAYARI STORY IPO KWA HEWA
LEO TUMEMZUNGUMZIA PABLO ESCOBAR: BILIONEA ALIYEJIJENGEA PEPO YA KUISHI DUNIANI
FULL STORY BONUEZA IO LINK YA BLUE
https://m.youtube.com/watch?v=2fsGTj9pXFY
Cc: Mtiga Abdallah
30/10/2020
KAA MKAO WA KULA.... Gusa Link on my Bio
WANGAPI MMEMISS STORY TOKA KWANGU, LIKES ZIKIFIKA 200 TU TUNAACHIA STORY MPYA
BY: MTIGA ABDALLAH
Huu ndo Mwisho wa Mwendelezo wetu Kwa siku ya Leo TuKutane tena Jumatatu Kwa Hadithi Zijazo.
Karibu Katika hadithi za Kweli na Mtiga Abdallah awali ya yote haKikisha unanifollow ili usipitwe na simulizi zote ntaKua nikizipost hapa
Nchini india kuna eneo linafahamika kwa jina la satth kabar au unaweza kuliita makaburi sitini eneo hilo ni kielelezo cha simulizi ya kusikitisha juu ya kuuwawa kwa wanawake 65
Ninaweza kusema kuwa katika dunia ya sasa hakuna mtu mwenye wivu k**a bwana afzal khan aliyekuwa kiongozi wa eneo la baijapur kusini mwa india mnamo karne ya 17.
Afzal alikuwa na wanawake takribani 65 lakini aliwateketeza wote, alipobaini kuwa atakufa muda si mrefu akakapoenda kwenye uwanja wa vita ilipigwa november 20,1659
Afzalkhan kwa jinsi alivyokuwa na wivu aliona hasara afe nakuwaacha wake zake wakaolewa na wanaume wengine
Ndipo alipoamua kuwauwa na miili ya wanawake hao ilizikwa kwenye makabauri ya pamoja ambapo mpaka hivi leo kumekuwa k**a sehemu moja wapo ya utalii ijulikanayo kwa jina maarufu la saath kabar ikiwa na maana ya ‘’makaburi sitini’’ yaliyopo huko bijapur nchini india
GUSA LINK KWENYE BIO KUITAZAMA SIMULIZI NZIMA ☝️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Address
Dar Es Salaam