Almaktoum College

Almaktoum College

Share

Almaktoum College of Engineering and Technology (AMCET) ni chuo kilichosajiliwa na NACTE kwa namba ya usajili EOS/039 na VETA VET/DSM/PR/2014/B/090 .

05/06/2026

*🟩.ALMAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY- AMCET*

*🟢.NAFASI ZA MASOMO NA FURSA ZA MIKOPO YA BODI*

✅*.Diploma na cheti*

Dirisha la maombi ngazi ya diploma lipo wazi. Maombi yanafanyika kupitia https://app.almaktoum.ac.tz/

✅.Wanaoomba kozi za engineering, pamoja na kozi ya Laboratory Science wana uwezo wa kuomba mkopo Bodi ya Mkopo (HESLB). Hii ni fursa adhimu tufahamishe vijana waichangamkie.

✅.Tayari kuna wanafunzi wanaosoma Al-Maktoum College of Engineering and Technology wananufaika na mkopo wa elimu kutoka HESLB

🟢*.KOZI ZILIZOPO SASA*

✅.1.Uhandisi wa umeme.

✅.2.Sayansi na teknolojia ya maabara

✅.3.Komputa na teknolojia ya
habari
✅.4. Uhandisi wa umeme na elektoniki

*🟢WAHI NAFASI SASA*

*MAWASILIANO 0711869292/0652092192*

*WOTE MNA KARIBISHWA*👍👍

29/05/2026
22/05/2026

🌙 *IJUMAA KARIMU* 🌙

Katika siku hii tukufu ya Ijumaa, tunawatakia baraka, amani na mafanikio mema. 🤍

📢 *Dirisha la udahili bado lipo wazi!*
Tunendelea kupokea wanafunzi wa *VETA Level III* kujiunga na Al Maktoum College of Engineering and Technology kwa ajili ya kujenga elimu bora na maisha yenye mafanikio.

👉 Jiunge nasi leo na anza safari ya kuelekea kwenye ndoto zako. ✨

28/04/2026

🎓 Dirisha la Udahili kwa Diploma na Certificate sasa limefunguliwa!

Unasubiri nini kuanza safari ya mafanikio? Jiunge nasi leo upate elimu bora, ujuzi wa vitendo, na maandalizi ya maisha ya kazi.

Tunakaribisha wanafunzi wote wanaotaka kusoma Diploma na Certificate katika kozi mbalimbali zenye fursa kubwa kwenye soko la ajira.

🌟 Chagua kusoma mahali sahihi, chagua kujenga ndoto zako nasi.
📌 Nafasi ni chache, wahi kujiandikisha sasa!

Jiunge leo, kesho yako ianze kung'aa! ✨

01/04/2026

🚪 Dirisha la kujiunga VETA Level 3 katika Al Maktoum College of Engineering and Technology limefunguliwa!
Chukua hatua sasa ujifunze ujuzi wa vitendo unaokupa uhuru wa kujiajiri au kupata ajira kwa haraka.
🎓 AMCET inakupa mazingira bora ya kujifunza kwa viwango vya kisasa hapa Tanzania.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Mbezi Beach
Dar Es Salaam
255