07/01/2022
JE WEWE NI MZAZI? Na bado unajiuliza mwanao utamuacha wapi pindi uendapo kazini? Sasa umepata suluhisho..... mlete mwanao NOPA DAY CARE & NURSERY CENTRE Huduma Bora, Mazingira safi na salama kwa mtoto. 📞0762 686963 0784 942656 KARIBUNI SANA
24/12/2021
Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unakutakia wewe pamoja na familia yako kila la kheri kwenye msimu huu wa sikukuu na mwaka mpya. Asante kwa kuendela kuwa nasi 🥰🙏
08/12/2021
Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unawapenda kuwatakia kheri waTanzania wote sikukuu ya UHURU wa Tanzania. 1961-2021 .
03/12/2021
Zawadi pekee ya maisha kumrithisha mtoto wako ni ELIMU tu. Mlete mwanao tumpe haki yake anayostahili katika maisha yake ya sasa hadi baadae kwani elimu ndio msingi wa maisha.
03/12/2021
Kujenga uhusiano mzuri baina ya Mtoto na Mwalimu ndio jukumu letu kwani itamsaidia zaidi katika utambuzi. Karibu sana NOPA Daycare and Nursery Center kwa malezi bora ya Mwanao...
30/11/2021
Karibu sana NOPA Daycare and Nursery School.