05/01/2021
Nairobi School is an Open School education that offers students in Form Four and Six (Form IV & Form VI), and we also offer short courses at the certificate level.
Nairobi School, ni shule inayotoa mafunzo ya Elimu ya sekondari Huria (Open school education) ambapo wanafunzi wanasoma na kupata cheti cha kidato cha Nne na Sita (Form IV & Form VI), Pia tunatoa kozi za muda mfupi kwa ngazi ya cheti
05/01/2021
Nairobi Open School Is the private Non- formal education center (school) for both male and female students regardless of ages,
05/01/2021
Bado nafasi zipo kwa re-sitters na QT njoo bado haujachelewa tupo kigamboni maweni
30/12/2020
Karibu Nairobi school, Shele inatoa nafasi za masomo kidato cha mwanza 1-6 kwa kutumia mfumo wa QT na RESITER shule inamazigira mazuri ya kusomea na tulivu, shule ipo kigamboni maweni.
22/03/2020
NAIROBI SCHOOL ni shele ambao ipo katika mazingira mazuri na tulivu kwa mwanafunzi shule ipo ubungo nyuma ya stendi ya mko pia tunapatikana kigamboni maweni karibu na msikiti. Kwa masiliano zaidi tupigie kwa namba 0628 444 490 au 0783 933 879