Algebra Islamic Schools

Algebra Islamic Schools

Share

This page provides various information about Agebra schools. Your warmly welcome

30/03/2025
28/11/2024

Hotuba ya Mgeni Rasmi Mh Balozi Dr Ramadhani Kitwana Dau katika mahafali ya 13 ya wahitimu wa kidato cha nne 2024 katika shule ya kiislamu ya Algebra kibada kigamboni 23/11/2024

30/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mtoto Wa Simwe, Subira Mtambo, Donatta Nyoni, Jessica Motto, Ayubu Pazi, Saidi Baruti, Kipende Said, Samiry Jitihad, Joel Saidi, Imrana Nasseti, Bakari Asha, Rashida Abdallah, Abdul Latif Omar, Mohamed Wage, Muadilifu Mtanzania, Sharifa Mwendo, Moedee Kamilagwa

30/10/2024

Alhamdulillah

30/10/2024

Alhamdulillah
Uongozi wa shule za Algebra zinawapongeza wanafunzi 176 wa darasa la saba waliomaliza elimu ya msingi mwaka 2024 kwa matokeo mazuri. Kwa kupata wastan wa:
Daraja A= 106
Daraja B= 64
Daraja C=06
Daraja D=00
Daraja E=00
Pongezi kwa waalim, wafanyakazi wote, wazazi na wanajamii kwa ujumla. Mungu awabariki sana na kuwalipa kila la kheri. Nafasi za kidato cha kwanza kwa mwaka 2025 kutwa na bweni zimebakia chache wahi sasa kuchukua fomu kwenye tovuti ya shule (www.algebraschools.ac.tz) au njoo shuleni Kibada full Shangwe. Karibu Algebra schools kwa Elimu na Malezi

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


KIBADA FULSHAGWE KIGAMBONI
Dar Es Salaam
36262