🟢nline Photographer
Natumaini U mzima
TANGAZO
📤 kwanini upost picha ambayo haijafikia viwango vya juu⁉️
>Kwann ukose Like👍🏾, comment✍🏼❓
>furahia🤪 mitandao yako ya kijamii kwa kupata 👍🏾 na ✍🏼 hapa.
> 👨🏻💼👈🏻 niko hapa kwa ajili ya kukutengenezea picha yako kwa bei ndogo kabisa.
*```YALIYOMO```*
Tengeneza picha🏞️ ya mtoto,Baba,Mama, kwa matukio mbali mbali,tunaandika Maneno yenye amtazamo mzuri kutoka Sehemu tofauti (Vitabu vya Dini,Nyimbo,Elimu nk.)
_MAELEZO YA MSINGI_
🛠️Picha yako utaituma📲 moja kwa moja WhatsApp au Fb messenger
*+255745971498* _what'sApp_
*Dé Rhinø Húñtęr* on fb Messenger.
*+255684893534* _inbox_
Tupo mahali popote ulipo
*Bei zetu ni•*
✔️Pic 1 ni Tsh 600.
✔️Pic 1️⃣ -- 🔟 = 5000Tsh.
✔️Pic 🔟 --5️⃣0️⃣= 26500Tsh.
✔️Pic 5️⃣0️⃣-- 💯
=53,000.
🟢nline photographer tunakupenda,tunakujali na Kukuthamini.
SHINDA AWARDS ZENYE HADI 20% KILA UNAPOTENGENEZA PIC 45.
Education Insipirators Company
wauzaji na waaandaji wa DVDs za masomo kwa wanafunzi wote
Kufaulu lazima
13/05/2020
08/05/2020
-Je Unapenda Kuanzisha Mradi/Biashara?
-K**a mfanya biashara unawajua maadui wanaoathiri biashara yako,wanaotokea ndani ya mradi/ofisi yako pamoja na kuwadhibiti?
-Je unawajua maadui wanaoathiri biashara yako wanaotokea upande wa nje ya mradi/ofisi yako ambao ni washindani na wengine wengi pamoja na kuwadhibiti?
Mafunzo/kwa njia ya sauti/audio hapo chini, yatakufundisha namna sahihi ya kuanzisha biashara. Watu wengi hukwama katika hatua ya awali hapa.
Wengi huangalia mtaji tu, vipo na vitu vingine vingi.Somo litakuonyesha vitu hivyo pamoja na kukufundisha namna ya kupata mtaji, ambao wengi huona ni tatizo kubwa.
Pia mafuzo haya yatakufundisha namna ya kulea biashara yako itakapokua imeanza kutembea. Kuanzia hapa hata wewe mwenye biashara/mradi tayari, utaanza kujifunza.
Biashara ni k**a vita, somo litakuonyesha na litakufundisha jinsi ya kupambana na maadui wako wa ndani/yaani wanaotokea ndani ya biashara yako ambao wako wengi na wafanya biashara wengi hawawajui, kwani baadhi ya wafanya biashara hujua maadui hutoka upande wa nje tu, yaani washindani/competitors.
Lakini maadui wengi hutokea upande wako, na huenda wameathiri biashara yako kwa namna moja au nyingine, sasa ni muda wa kuwajua na kuwadhibiti.
Yaani kwa ufupi kipengele hichi cha pili utakuwa umefundishwa ku scan internal environment/kuangalia mazingira ya ndani ya biashara yako (Ku scan maana yake kuangalia sehemu zote kwa makini, kutambua tatizo na kulidhibiti).
Kipengele cha mwisho somo litakuonyesha na litakufundisha jinsi ya kupambana na maadui wako wa nje/yaani wanaotokea nje ya biashara yako ambao ni washindani sasa, na wengine wengi.Kumbe unaweza ukawa unapambana na washindani tu, lakini maadui wengine wengi wanakushambulia na kujikuta unaendelea kunyongonyea au kuyumba kibiashara.Somo hili litakuonyesha yote na kukuelekeza namna ya kudhibiti. Yaani kwa ufupi katika kipengele hiki cha tatu utakuwa umefundishwa ku scan external environment/ kuangalia mazingira ya nje ya biashara yako
07/05/2020
https://dodomastore.co.tz/Education
CHEMISTRY FORM 1- PAMPHLET LENYE TOPIC ZOTE ZA FORM 1 NA MASWALI YA MAZOEZI KILA MWISHO WA TOPIC. INGIA HAPO JUU👆KUPATA MATERIAL HIYO ILIYOSHIBA KWA AJILI YA MWANAO.
30/04/2020
Kampuni ya Educational Insipirators inayojishughulisha na swala la elimu wanakuletea waalimu mahiri katika kutunga na kusahihisha mitihani mbalimbali(test)itakayomwezesha mwanao kuendelea kusoma akiwa nyumbani kipindi hiki cha ugonjwa wa corona kwa taarifa na maelekezo zaidi wasiliana nami kwa namba 0758262617. Elimu ni ufunguo wa maisha
22/04/2020
COVID 19-JINSI YA KUVUKA.
Majanga k**a haya yalishatokea zamani (Miji ya Sodoma na Gomora ilichomwa moto enzi za Rutu na Enzi za Nuhu dunia iliangamizwa na maji, akapona Nuhu tu na ndugu zake wachache)
Tujifunze nini kilisababisha majanga hayo na waliopona walifanyaje,
Ili na sisi tupone.
Soma hadi mwisho ili kupata uponya uliokamilika.
Mwanzo 6:5 & 7a (Hapa tunajifunza chanzo cha janga lilolotokea la Dunia kuangamizwa kwa maji)
5 BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
7 BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi;
Hapa tunaona kilichosababisha janga hilo ilikuwa “UOVU na MAKUSUDU mabaya” ya mwanadamu.
K**a ukiona uliposoma neno (UOVU na MAKUSUDU mabaya) unaanza kukasirika na unataka kuacha kuendelea kusoma makala hii tambua kuna roho mbaya iliisha ingia na kujificha ndani yako, sasa rafiki yangu nakushauri soma makala hii hadi mwisho utapata uponyo. Unaposoma vitu vyema ndipo roho mbaya huwa inatoka ndani yako na kuingia roho nzuri (Yaani kwa wataalamu wa computer wanasema formatting and installation). Roho mbaya hupambana na Mungu tangu zamani, hatari ni kwamba ukiikubalia ikae ndani yako, wewe nae hutapona katika vita yake na Mungu, yaani unakuwa umeungana na adui wa Mungu.
Ngoja nikupe siri hii, unajua watu wengine huonewa sababu hawajui hii;
Mungu mpango wake (Mission) ni ujenzi/construction yeye ndie aliyeumba Mbingu na nchi na vyote vijazavyo, huo ni ujenzi katika hali zote. Roho mbaya mpango wake/mission yake ni kinyume yaani kuharibu/destruction, sasa hapo ndipo vita huanza na Mungu kwa sababu roho mbaya huingilia kuharibu mpango wa Mungu na Mungu siku zote atakuwa mshindi.
Angalia hii, endelea kunifuatilia-Mtu yoyote mwenye roho mbaya lazima atakua MUOVU na MAKUSUDU mabaya, kwa kuwa na vitu hivi tayari anakuwa anafanya Uharibifu/destruction ambayo ni kinyume na mission ya Mungu.Kwa hiyo mtu aliye ikubalia roho hii ya uharibifu wa roho mbaya
21/04/2020
NDUGU ZANGU MLIOPO HAPA KWENYE ACCOUNT HII, NA WENGINE WENGI MNAOIONA POST HII, "NAWAPENDA SANA"
NIKUOMBE SUPPORT YAKO, TAFADHALI KARIBU TUKUHUDUMIE KWA UPENDO MKUBWA, PIA TAFAFHALI TUMA UJUMBE HUU KWENYE GROUP ZOOTE ULIZONAZO ZA WHATTSAPP, TELEGRAM NA FACEBOOK, ILI TULIFANIKISHE HILI, TUKI' SAPOTIANA SISI KWA SISI HAKIKA TUTAFIKA. UPENDO NI NGUVU YETU, WAKARIBISHE WOOTE UNAOWAFAHAMU ILI TUWAHUDUMIE. TUNAKUAHIDI HUDUMA YA UHAKIKA 100%. .
KWA MWANAFUNZI YEYOTE ATAKAYE TUMIA DVD ZETU K**A SEHEMU YA MAFUNZO KATIKA MASOMO YAKE HAKIKA, NAKUHAKIKISHIA UFAULU WA KISHINDO NI LAZIMA 100%. .
NA K**A TUNAVYOFAHAMU CORONA IMEATHIRI SECTOR TOFAUTI'TOFAUTI KATIKA NCHI YETU, NA SECTOR YA ELIMU IMEATHIRIKA PIA, SISI EDUCATION INSPIRATORS TUPO HAPA KUKUSAIDIA WEWE MWANAFUNZI ULIYE NYUMBANI, PATA DVD ORGNAL KUTOKA KWETU LEO, NA UFIKIE MALENGO YAKO YA KIELIMU. UFAULU WA KISHINDO NI LAZIMA.
KARIBUNI🙏.
""NI MUDA SAHIHI WA KUJIFUNZA, KWA MWANAFUNZI YEYOTE WA KIDATO CHA 3 & 4 KUPITIA NJIA YA VIDEO ZETU. EDUCATION-INSPIRATORS, NI WAALIMU WA UHAKIKA NA TUNAFUNDISHA MASOMO YOTE ILA KWA SASA TUNAANGALIA SOMO LA KISWAHILI HUSUSANI SEHEMU YENYE MAKSI NYINGI KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA FORM 4 (UHAKIKI WA TAMTHILIYA, RIWAYA NA MASHAIRI).
WASILIANA NASI KUPATA DVD VIDEO ORIGINAL KWA GHARAMA KIDOGO KWA AJILI YA MWANAFUNZI YEYOTE WA KIDATO CHA 3 & 4, ITAKAYO KUSAIDIA KUELEWA SAWASAWA NA KUFAULU KWA KISHINDO SOMO LA KISWAHILI.
TUNAWAKARIBISA NA WAALIMU PIA, NA WENGINE WENYE TUITION CENTERS SEHEMU MBALIMBALI, NI MUDA WA KUSHIRIKIANA NASI SASA ILI KWA PAMOJA TUTIMIZE LENGO LA UFAULU WA KISHINDO KATIKA SHULE NA TUITION CENTRE ZETU.
WASILIANA NASI KWA NJIA HIZI
Mobile:- 0758262617
POPOTE ULIPO TANZANIA TUNAKUFIKIA📀""
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Daudismprinciple2580@gmail. Com
Dar Es Salaam