04/01/2019
Heri ya mwaka mpya
Together we can
04/01/2019
Heri ya mwaka mpya
NIELEWEKE KAWAIDA TU: Mwezi uliopita yaani mwezi wa 7/2016 Serikali ya Uingereza ilikuwa inapitisha mswada wa kufuta mfumo wa ajira-veti (kuwa na cheti cha taaluma hiyo) km ndio kigezo cha kuwa mtumishi badala yake ni kuangalia zaidi uzoefu na ufanisi wa ufanyaji kazi wa mtu huyo lakini imekuwa tofauti huku kwetu hata km unauwezo namna gani km huna vyeti wewe ni feki hii inaonesha tofauti ya Elimu zetu
Kwa makadilio zaidi ya watanzania 10000000 wanatumia simu za bei nafuu (feki) na km wastani wa kila simu ni Tsh-30000/=. Hivyo hasara ambaye wamepata kupitia kwa simu za bei nafuu ni km Tsh-300000000000/=. Nani atalipa hii hasara? Ugumu wa maisha na maendeleo duni yanasababishwa na maamuzi yasiyo na tija yanayofanya na serikali.
Amani ikiwepo furaha inakamilika
01/01/2016
Nawashukulu sana wale wote walio nitakia heri ktk cku yangu ya kuzaliwa sina cha kuwalipa ila Mungu awaongoze kwa kila jambo
Mwaka unakaribia kuisha sasa ni muda muafaka wa kufanya tathmini ya mwaka mzima kwa uliyofanya kipi umefanikiwa na kipi hujafanikiwa na kwanini na kipi kifanyike ili kufanikisha malengo yako?
Katika hali ya kawaida Tanzania ilimuhitaji sana mtu k**a Dk Magufuli ili kufika Tanzania tunayoiwaza k**a wako watatu nchi inaenda binafasi nampongeza huyu jaa wewe je?
Hongera Dk, Magufuli kwa mwanzo mzuri ila ukiingiza huruma nawe watakuona km waliopita