02/12/2022
Wanafunzi wetu wa Hanos Daycare and Nursery school wamefaulu Kwa kishindo kikubwa mitihani Yao ya darasa la kwanza.. Tunajivunia kutoa elimu Bora na tunawatakia maendeleo mazuri zaidi ๐ฅฒ๐.
Karibuni Hanos Kwa elimu na malezi ya watoto ya kiwango Cha juu.
14/02/2022
30/12/2021
25/12/2021