Darasa_la_ufugaji_wa_kuku.

Darasa_la_ufugaji_wa_kuku.

Share

Karibu tujifunze kuhusu ufugaji wa kuku kitaalamu na tuache kufuga kwa mazoea.....!!

01/06/2026

🐔 TANGAZO LA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KUKU KITAALAMU 🐔

Je, unataka kuanza au kuboresha ufugaji wako wa kuku na kupata faida zaidi?

Basi k**a jibu n ndio,, Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa kuku kitaalamu yanayohusisha aina zote za kuku, ikiwemo:

✅ Kuku wa Kienyeji
✅ Broiler (Kuku wa Nyama)
✅ Layers (Kuku wa Mayai)
✅ Sasso
✅ Kuroiler
✅ Na aina nyingine mbalimbali za kuku yaani (kuku chotara)

Darasa hili ni la WhatsApp sababu kupitia WhatsApp watu wengi ndio hujifunza Kwa urahisi zaidi na hujifunza Kwa wingi zaidi.

Haya n baadhi ya mambo utakayojifunza endapo utajiunga na kundi hilo la ufugaji wa kuku WhatsApp:

🔹 Ujenzi wa banda bora la kuku
🔹 Uchaguzi wa vifaranga bora
🔹 Lishe na utengenezaji wa chakula cha kuku
🔹 Ratiba za chanjo na tiba
🔹 Utambuzi na udhibiti wa magonjwa
🔹 Mbinu za kuongeza uzalishaji na faida
🔹 Masoko ya kuku na mayai

💰 Haya yote itakuwa n Kwa Ada ya Mafunzo: Shilingi 2,000/= tu kwa mwezi....

Mafunzo haya yanafaa kwa wanaoanza na wafugaji wenye uzoefu wanaotaka kuongeza ufanisi katika ufugaji wao.

📞 Wasiliana nasi kwa namba za Simu WhatsApp 0767037203 ili kujiunga na mafunzo au bonyeza link hapo chini ili uweze kuunganishwa..

https://chat.whatsapp.com/JvMdzPVpFT8EebxMpUV7mn?s=cl&p=a&mlu=3

"Ufugaji wa kisasa ni njia ya uhakika ya kuongeza kipato chako."

Photos from Darasa_la_ufugaji_wa_kuku.'s post 12/05/2026

Tatizo la ugonjwa wa kuhara damu Kwa kuku wako
Hii n shida ambayo hutokana na uchafu ndani ya banda
Iwapo kuku unaowafuga wapo kwenye mazingira ambayo sio rafiki lazima iwaletee shida k**a hizo....
Hivyo basi unapokuja kufuga kuku hasa vifaranga lazima uwe makini Sana na usafi ili magonjwa yenye husababishwa na uchafu wa mazingira k**a vile KUHARA DAMU na TYPHOID yasije kukusumbua

04/04/2026

WENZAKO WANAENDELEA KUPATIWA SHULE KUHUSU UFUGAJI WA KUKU KITAALAMU.... KWANINI WEWE UKOSE. NITUMIE UJUMBE KWENYE WHATSAPP YANGU +255767037203 WENYE NENO NIUNGE NA MM NITAKUUNGANISHA MOJA KWA MOJA....

03/03/2026

Vitamin E ni kirutubisho muhimu sana kwa kuku wako *(hasa k**a unafuga kuku wa mayai au wa nyama k**a ulivyokuwa ukiuliza mara nyingi).*

Hizi hapa chini ni faida za vitamin E:

1️⃣ Huimarisha kinga ya mwili

Yaani vitamin hii huongeza uwezo wa mwili kupambana na magonjwa.

Yaani huweza kupunguza vifo vya vifaranga Kwa idadi kubwa Sana...

Husaidia kuku kujibu vizuri chanjo.

👉 Kuku wenye upungufu wa Vitamin hii huwa rahisi kuugua mara kwa mara.

2️⃣ Huongeza uzalishaji wa mayai

Husaidia kuongeza idadi ya mayai Kwa kuku hasa layers kienyeji na chotara.

Huboresha ubora wa mayai.

Huongeza nguvu ya uzazi (fertility) kwa kuku wa kutotolesha k**a vile kienyeji.

Kwa kuku wa mayai, Vitamin E ni muhimu sana kipindi cha uzalishaji yaani kuanzia wiki ya 16 na kuendelea.

3️⃣ Hulinda misuli na mfumo wa neva..

Huzuia ugonjwa wa misuli kudhoofika (white muscle disease).

Huzuia kuku kunyonga shingo (wry neck) unaosababishwa na upungufu wa Vitamin E.

Humsaidia kuku kutembea vizuri bila kuyumba.

4️⃣ Hufanya kazi pamoja na Selenium

Vitamin E hufanya kazi kwa kushirikiana na madini ya Selenium kulinda seli za mwili dhidi ya uharibifu (antioxidant effect).

Kuku anapokuwa na Dalili za upungufu wa Vitamin E utamjuaje....??

🔨 Kuku kunyonga shingo.

🔨 Kutembea kwa kuyumba.

🔨 Vifo vya ghafla kwa vifaranga.

🔨 Kushuka kwa uzalishaji wa mayai.

Namna ya kumpa kuku Vitamin E

💪🏿 Kupitia chakula cha kuku..... ndio maana tunashauri mfugaji kuweka premix kwenye chakula cha kuku sababu tayari premix ina Vitamin E ndani yake.

💪🏿 Maji ya kunywa.... hasa wakati wa msongo au baada ya chanjo mfugaji anashauriwa kuwapa Sana hizi dawa.

*Dozi ya kawaida: fuata maelekezo ya bidhaa (kawaida huandikwa mg kwa kilo ya chakula au kwa lita ya maji).*

NATUMAI UTAKUWA UMENIELEWA MAMA YANGU

AHSANTEEEE SANA....

17/02/2026

Leo ni Siku ya kufanya usafi na kuongeza nafasi ya ukumbi maana vifaranga wamekua hivyo wanahitaji nafasi ya kutosha ya banda....

16/02/2026

✍️✍️✍️✍️✍️✍️

16/02/2026

Chakula Bora Kwa kuku wako n njia mojawapo ya kuwafanyia kuku wako kuweza kukupatia matokeo chanya katika ufugaji wa kuku

Photos from Darasa_la_ufugaji_wa_kuku.'s post 16/02/2026

Tufuge kuku tuache kuishi na kuku......

Photos from Darasa_la_ufugaji_wa_kuku.'s post 16/02/2026

Mboga za majani ni nzuri Sana Kwa kuku
Sababu huwakinga na magonjwa maana majani mengine n dawa
Pia husaidia katika kuwapa kuku wako vitamin A,B na D ambazo n muhimu Kwa kuku.
Pia husaidia kubadilisha kiini cha yai kuwa cha njano zaidi.

TUWAPENI KUKU WETU MBOGA ZA MAJANI....

13/02/2026

Tufuge kuku na tuache kuishi na kuku....

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Ukonga, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255