Lusajo Nursery and Primary - English Medium school

Lusajo Nursery and Primary - English Medium school

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lusajo Nursery and Primary - English Medium school, School, Mbondole/Msongola, Dar es Salaam.

25/06/2025

Shule ya awali na msingi Lusajo inaendelea kuwatangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2025.
🔸Tunapokea wanafunzi wa awali (chekechea) kuanzia miaka miwili na nusu.
🔸Pia Tunapokea wanafunzi wakuhamia kuanzia darasa la Kwanza hadi la Sita.
🔸Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni kwa gharama nafuu sana, kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 9:00 alasir.
Wote mnakaribishwa🤗

13/06/2025

Ratiba ya upimaji wa kitaifa darasa la nne 2025

13/01/2025
09/01/2025

Wahi ujipatie offer katika msimu huu wa mwaka mpya.
Wote mnakaribishwa. 🥳🥳🥳

03/01/2025

Tangazo la Ajira ya Walimu Lusajo:

Uongozi wa shule ya Awali na Msingi Lusajo, iliyopo Mbondole, Kata ya Msongola unatangaza nafasi za Ualimu.

Lusajo ni shule ya mchepuo wa kiingereza (English Medium).

Sifa za mwombaji

1. Awe na cheti cha ualimu, kuanzia cheti na kuendelea kutoka vyuo vinavyotambulikana
2. Awe na uzoevu wa kufundisha
3. Awe mwadilifu katika maeneo yote
4. Awe tayari kufanya kazi katika mazingira yote
5. Maombi yatumwe kupitia : [email protected], simu 0752063625
6. Mwisho wa kupokea ni tarehe 7 Januari 2025.

Karibuni nyote

08/12/2024

Congratulations my pupils.🥳🥳🥳

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Culinary Team

Attire

Telephone

Address


Mbondole/Msongola
Dar Es Salaam