wewe ungefanyaje

wewe ungefanyaje

Share

habari karibu katika ukurasa huu unaotoa elimu kwa njia ya majadiliano kupitia Visa mbalimbali

16/12/2022

Ikibidi Kubari kupita katika njia ya ujinga ili kufika katika mji wa welevu

16/12/2022

Siku ukifa watasema mazuri yako hivyo usiumie wanapokusema vibaya tenda kwa ajiri ya mungu wako

14/12/2022

Usipokubari kuanza na kidogo kamwe hautakuja kupata kikubwa # ni hatua

12/12/2022

Hata ukiwapa kikubwa wewe ubaki na kidogo watasema umewapa kidogo wewe umebaki na kikubwa Hawa ndio binadamu

08/12/2022

Karibu katika ukurasa huu wa wewe ungefanyaje ? ukurasa huu utakuwa unaposti visa na mada mbalimbali na kutoa nafasi kwa watu kuchangia na kushauri

wewe ungefanyaje habari karibu katika ukurasa huu unaotoa elimu kwa njia ya majadiliano kupitia Visa mbalimbali

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam