Ivo Mapunda

Ivo Mapunda

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ivo Mapunda, Education, Dar es Salaam.

15/03/2026

Hivi nyie mnaopost mambo ya kujigamba ati mna HELA hivi mnamuona .kumbuka kweli??Ama niwaeleweje?
Kutwaaa mnatukanana mitandaoni mara kujigamba eti ooh mimi nina hela kuliko watu wote hapa bongo.. Ujinga mtupu na ulimbukeni..Huo utajiri wenu si muende mkawasaidie watu huko mtaani wanapata shida kila siku.Si mumtafute .kumbuka na awaonyeshe njia ya unyenyekevu kwa Mola wenu.Acheni sifa za kijinga kuonyesha watu upuuzi na mjikite kuwasaidia watu kuinua maisha yao.
Hongera sana .kumbuka wewe ni kioo kweli kweli Mungu akupe afya njema na maarifa zaidi uendelee kuwagusa wenye shida Tupo nyuma yako kaka
kumbuka

04/03/2026
27/02/2026

IvomapundaSports&Daycare..Quality education and better care..Tunaendelea kupokea watoto mwaka1-5..Tupo Mwanagati Kitunda.tupigie kwa WhatsApp 0785919363

15/01/2026

.sports.center .
Amen amen 🙏

01/01/2026

Tunakuja kivingine mwaka 2026.Tumeboresha kila kitu,mazingira bora kwa watoto..
Hata nisiongee mengi njoo shuleni mwenyewe uone.
Tumeshaanza kupokea watoto kwa mwaka huu 2026.
Namba hizo hapo zinatmbea tupigie muda wote tunapatikana…
Mambo ni motooo🔥🔥🔥
Wewe ni rafiki yangu sana..
K**a hutojali basi naomba share hizi video na wengine wafaidike na huduma zetu nafuu.

18/12/2025

IvomapundaSports&Daycare center Asanteni sana Wazazi kwa kufanikisha hili jambo letu.
Asanteni sana kwa kuja na kushiriki nasi halikuwa jambo rahisi nyie kuja hapa ila ni vile mnajali ku sapoti ndoto za wale wanaopambana.Asanteni sana wote mliokuja kuni sapoti 🙏🙏🙏Mungu awabariki sana sana.Siwezi kuwaacha ndugu zangu na wanafamilia wote ninawashuuru kwa kuwa jambo hili ni lakifamilia na mlisimama kuhakikisha tunafankiwa.Mungu atupe afya njema familia yetu na atuepushe na maradhi.amen🙏
Karibuni sana shuleni kwetu .Sports&Daycare.center tunaendelea kupokea watoto (1-5)yrs unaweza fika shleni kwetu Mwanagati kwa Mfipa kwa ajili ya kupata maelezo zaidi au unaweza wasiliana na walimu na wahudumu wetu kwa namba hizi.
0657398515 au 0786610761.
light.31508076

06/12/2025

.sports.center IvomapundaSports&Daycare siku kubwa ya mahafali❤️❤️

01/12/2025

IVOMAPUNDA SPORTS & DAYCARE CENTER KWA HESHIMA KUBWA TUNAYO FURAHA KUKUALIKA NA KUKUKARIBISHA KWENYE MAHAFALI YA WATOTO WETU WANAOHITIMU MASOMO YA AWALI KWA MWAKA 2025.
SHEREHE ZITAFANYIKA UWANJA WA MPIRA MWANAGATI KWA MFIPA TAREHE 06/12:2025 KUANZIA SAA 3:00 USUBUHI MPAKA SAA 10:00 JIONI.UWEPO WAKO NIWAMUHIMU SANA KUFANIKISHA SHEREHE HIZI.
Iwapo k**a utashiriki tunaomba taarifa yako kwenye namba 0785 919363 /0657398515 ili tukuweke kwenye ratiba na kukupa direction ya eneo la tukio.

30/03/2025

Happy birthday my daughter Binti IvomapundaSports&Daycare 🍎🍔🌯🍭🍿

02/07/2024

.sports.center .
IVOFRESH JUICE & FRUITS Ni juice mpya ambayo kitaalam inaitwa juice LISHE ambayo ina virutubisho vyote ambavyo vimechanganywa na kutengenezwa kitaalam.Ni Juice ambayo imetengenezwa kwa mchanganyiko wa matunda halisi,mbegu za maboga na karanga ambavyo vimesagwa pamoja na kuwa laini.Kwakuwa juice imesagwa na kuwa laini hivyo haichujwi na hii hufanya atakaetumia aweze kupata virutubisho vyote.Kitaalam hii ni juice tiba ambayo mtu yeyote anaweza kuitumia .Ni nzuri sana hurudisha afya njema kwa wale ambao afya zao zimedhoofika hasa watu wazima (wazee).Pia hujenga afya bora kwa watoto mara wanapoitumia muda wote.Lakini pia ni nzuri kwa matumizi ya kawaida kwa mtu yoyote anapoitumia kwakuwa inavirutubisho vyote.Ili kupata radha halisi ya juice hii tunatengeneza kwa oda maalum ambapo mtumiaji atatumia ikiwa imetoka kutengenezwa ili kupata juice iliyo bora.Tupo tayari muda wowote kupokea oda za sherehe mbalimbalii,harusi,kipaimara,sendoff,na shughuli mbalimbali za kijamii.Tuna wafanyakazi wa kutosha ambao wamefundishwa kutoa huduma nzuri kwa wateja wetu .Kipaumbele cheti ni USAFI KWANZA AFYA KWA WATEJA.
-Matunda safi halisi na yaliyo bora.
-Maji safi yaliyochemshwa vizr.
-Mazingira yaliyosafi wakati wote.
-Wahudumu wetu kuwa safi mda wote.
-Kutunza mazingira baada ya matumizi. Tunafika popote ulipo kukuhudumia.
Kwa mawasiliano zaida tupigie 0785919363 /0677553308.
KARIBU. .ackson

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam