Nsyani E.J

Nsyani E.J

Share

ACCOUNTANT~CPA(T)~PREACHER~AUTHOR

29/06/2023

▪️Hatuokolewi kwa sababu tuna matendo mema,wala matendo mema sio surprise kwa Mungu sababu alituumbia hayo tangu mwanzo.

✍🏼WOKOVU NI KIPAWA,NI ZAWADI,TUNAOKOLEWA KWA NEEMA KWA KUKUBALI KAZI YA YESU MSALABANI.
☑️Matendo mema yana faida sana yakitokana na WOKOVU.

[8 Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; 9 wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu.(Waefeso 2:8-9)]

.

01/06/2023

✝️Jumapili hii,KKKT Mbagala.

▪️SISI TUNAABUDU TUKIJUACHO.Kuna hasara kubwa sana kufanya Ibada kwa Mungu usiye mjua.

[22 Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.
Yohana 4:22]

👉🏽Uzima wa milele unadai UMJUE MUNGU NA YESU KRISTO ALIYEMTUMA.

[3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.(Yohana 17:3)]

.

God bless you Pastor Rev Prosper Kinyaha.

28/01/2023

✳️TUMEZALIWA KWA MBEGU ISIYOHARIBIKA.

[23 Kwa kuwa ; , bali kwa ile isiyoharibika; , lidumulo hata milele.(1Petro 1:23)]

THE GRACE OF GOD PREVAILS.✝️

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Majohe, Ilala
Dar Es Salaam