Smart Uni

Smart Uni

Share

First digital platform in Tanzania for students in universities, with access to all study materials

22/05/2026

Mambo kidigitali mwanetu ukiwa na smart uni umemaliza! stress kwaheri πŸš€
Elimu kiganjani mwako sasa hivi!!.
Pakua sasa smart uni app inapatika kwa watumiaji wa simu zote android na ios(iphone)

18/05/2026

Kupitia application ya smart uni unapata notes zako zotee yan ushindwe wewe sisi kwetu notes k**a zote yani semester nzima
Pakua sasa usihangaike tena wakati wa mitihani

Photos from Smart Uni's post 14/05/2026

Hatukuishia kuonana na viongozi Bali ulifika wakati wa kuongea na wanafunzi wa chuo Cha TaSuBa kuhusu smart uni app (mfumo) jinsi unavyo fanya kazi na faida zake kwa ujumla na tukaona na talents mbali mbali pia these people are πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ talented and creative 🫢
Asanteni sana

Photos from Smart Uni's post 14/05/2026

Smart uni ilipata nafasi kwa mara ya kwanza kufika katika Chuo Cha sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) na pia kufanya mazungumzo na viongozi wa juu (makamu mkuu wa chuo) pamoja na serikali ya wanafunzi (UWaTaSuBa) juu ya mfumo huu mzuri kabisa wa smart uni


Swipe πŸ‘‰
πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ’―πŸŽ»πŸŽ™πŸ₯πŸŽΊπŸŽ™

11/05/2026

Notes sio kitu Cha kukupa stress wewe mwanachuo kabisaa!
Karne hii kila kitu kiganjani kwako download Leo usome bila stress na upate kila kitu kwa gharama nafuu kabisa buku 2 Yako TU
Unapata 1.notes za semester zote
2. Assignment za darasani
3.live online discussion (vimbweta live)
Chatting area (kuchat na Wanafunzi wenzako kutoka vyuo vote tz) na vingine kibao ....usisubiri kesho mtihani ndo uhangaike chukua code hio msomi

08/05/2026

Now you can chat in the Smart Uni App!
Don't spend your weekend boredly if you have not yet downloaded your missing it up ✨
Download now!
on google play and app store just search smart uni tz.

06/05/2026

Smart uni imesha kurahisishia msomi!! Ukiwa na smart uni app chap TU una weza kuchat na marafiki wapya kutoka vyuo mbali mbali hapa Tanzania.
Una ngoja nini sasa ku pakua app hii msomi ?


04/05/2026

Success isn’t a giant leap; it’s the sum of every small effort you repeat today.

Photos from Smart Uni's post 03/05/2026

Smart uni ilipata nafasi siku ya Jana kushikiri charity pamoja Wana funzi kutoka chuo Cha usimamizi wa fedha IFM ambayo Ilikuwa ni kuwa tembelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu huko chalinze katika shule inayo fahamika k**a H.B.lukwambe.
Asanteni sana

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam