11/09/2024
Sunshine Academic Centre tunawatakia kila la kheri DARASA LA SABA WOTE mtihani mwema.Mungu awafanyie wepesi mtihani usiwe mgumu uwe k**a test za kawaida inshallah
Wisdom Academic Center tunapokea watoto kuanzia miaka miwili na nusu, Ada zetu ni nafuu sana karibu tunapatikana Chanika - kwazoo
11/09/2024
Sunshine Academic Centre tunawatakia kila la kheri DARASA LA SABA WOTE mtihani mwema.Mungu awafanyie wepesi mtihani usiwe mgumu uwe k**a test za kawaida inshallah
19/12/2023
Sunshine Academic Center tunapenda kuwatangazia muhula wetu mpya 2024 tumeanza kuandikisha watoto kuanzia miaka 2 mpaka 6