eng.mudy_fundi_umeme

eng.mudy_fundi_umeme

Share

All electrical inspection and testing with electrical services

07/05/2026

Tukiwa katika chuo kikuu cha UDSM baada ya kampuni ya BICO kampuni ya Udsm kuandaa mafunzo hayo ya earth nasi kushirikiana nao upande wa mafunzo kwa vitendo.
0713946570

Photos from eng.mudy_fundi_umeme's post 06/05/2026

Nikiwa katika power plant hii ya sola kwa lengo la kwenda kujifunza zaid umeme jua na namna inavyofungwa kulingana na utaratibu na pia namna ya kupima angle of inclination. Sasa nimewiva karibuni 0713946570

26/04/2026


Tukiendelea na zoezi la kufanya utafiti wa matumizi makubwa ya umeme kwa mteja wetu huyu baada kufika kwetu na kuomba ushauri wa kitaalam juu ya kulipa bill kubwa ya umeme.

Tulifanikuwa kufanya vipimo vyote stahiki vya umeme, kimoja wapo ni load study ndio tukakutana na hili jiko la induction lenye 4.2kW
Karibuni 0713946570

12/04/2026

Alhamdulillah 🙏
0713946570

Photos from eng.mudy_fundi_umeme's post 02/04/2026

tukiendelea na zoezi la ukaguzi mdani ya kiwanda
0713946570

Photos from eng.mudy_fundi_umeme's post 02/04/2026

COMMONWEALTH WAR GRAVES COMMISSION
DAR ES SALAAM, Electrical Inspection, and Testing
0713946570

Photos from eng.mudy_fundi_umeme's post 28/02/2026

Moecs Engineering Ltd ikiendelea na zoezi la kuandaa taa za kwenye nguzo katika warehouse hii iliyopo mbagala Zakhiem, kwa kutumia zana zote za kazi ili kulinda usalama wa wanaofanya kazi.

0713946570

Photos from eng.mudy_fundi_umeme's post 27/02/2026
24/02/2026

Panel Installation at TRC station
0713946570

18/02/2026

WHAT IS PORTABLE APPLIANCE TESTING? (BS7671, IEC60364-6, ISO 14001)

Huu ni mchakato muhimu ulioundwa ili kuhakikisha usalama wa vifaa vya umeme vinavyotumika katika mazingira mbali mbali.

IEC 60364-6:2.1.1.1

Hiki ni kiwango cha tume ya kitaifa ya ufundi wa electronics ambacho kinatoa miongozo ya uthibitishaji wa mitambo ya umeme.

IEC 60364-6:2.1.1.2

Hii ni sehemu ya sheria ya sita ambayo inazungumzia hasa vifaa vya umeme vya voltage ya chini ambayo inaeleza mahitaji ya ukaguzi wa mara kwa mara na upimaji wa vifaa vya umeme vinavyobebeka.

BS7671:2.1.3.1

Hiki ni kiwango cha uingereza kinachojulikana pia k**a kanuni za wiring za IET kinacho jumuisha vifungu vinavyo husiana na ukaguzi na upimaji wa vifaa vya umeme vinavyohusu vipengele k**a vile usalama wa earthing, bonding na insulation ya kifaa.

ISO 14001:2.1.6

Hiki ni kiwango cha ISO cha usimamizi wa mazingira kinachohimiza mashirika kuanzisha na kutekeleza taratibu za kupunguza athari zao za kimazingira kwa kufanya upimaji wa Portable Appliance Testing (PAT)

Upimaji wa PAT ni ukaguzi wa usalama wa vifaa vyovyote vya umeme vinavyoweza kusogezwa au kuvichomoa kwenye umeme vinavyotumia plug, ambavyo vinajumuisha kila kitu kuanzia chaja ya simu yako ya mkononi, vacuum cleaner, pasi ya umeme, friji, machine ya kufulia, majiko ya umeme, vifaa vya hospital, vifaa vya viwandani n.k.
Fikiria k**a ukaguzi wa afya ya vifaa vyako vya umeme.

WHY DO WE NEED PAT TESTING? (Kwa nini tunahitaji upimaji wa PAT?)

Sote tunatumia vifaa vya umeme kila siku, mara nyingi bila kujua k**a vifaa hivyo ni salama kwa umeme, vifaaa vya umeme vyenye hitilafu vinaweza kuwa hatari na kukusababishia moto au kupigwa shock au kukusababishia bili kubwa ya umeme.

Ndio maana kupima mara kwa mara vifaa vyako si zoezi la kuhesabu tu, ni njia moja wapo ya kuwaweka watu salama.

AT WORK

K**a wewe ni mmiliki wa biashara, una jukumu la kisheria la kuweka wafanyakazi wako salama. Hii ina maana ya kufuata kanuni za usalama k**a vile sheria ya afya na usalama kazini.

Hakikisha vifaa vyako vyote vya umeme vinavyobebeka (Portable) viko katika hali nzuri ya kufanya kazi ni njia mojawapo ya kufanya mtendaji wa afya na usalama awe na fu

07/01/2026

Vijana kutoka vyuo vya veta walijiunga na na kuendelea kupata mafunza kwa vitendo
0713946570

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mtongani/Kunduchi
Dar Es Salaam