17/07/2023
Nasikitika kutangaza kifo cha mtoto wa dada yangu kilichotokea Kilombero Morogoro. Tunaendelea kufanya taratibu za kusafirisha mwili kwenda NYAISHOZI KARAGWE-KAGERA.
Kwa yeyote atakayeguswa anaweza kuungana nasi kwa:-
MPESA:0755 103 023
TIGO PESA: 0715 103 023
CRDB: 01J2090953700
JINA: SEMEO NESTORY JOHN
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!.