ibrahm_hassan

ibrahm_hassan

Share

habari vijana nichukue nafasi hii kuwapa mbinu,,, kujitoa na kuwa tayar inawezekana. kaul mbiu,,''' wazo ni thamani amka na kilimo,,vijana viwanda ni ajira

30/12/2021
04/12/2021

Nashukuru kwa upendo wenu na kuniunga mkono, msikate tamaa tushikamane

Photos from ibrahm_hassan's post 04/12/2021

Kwenye nia panamalengo hivyo usirudishwe nyuma na watu wasiopenda mafanikio yako.

Photos from ibrahm_hassan's post 27/10/2021

Ukithubutu unaweza kilimo ni ajira, kilimo ni ukombozi kwa vijana. Tuamke tuwekeze nguvu kwenye kilimo.

22/09/2021

Ni asubuh nyingine baada ya majukumu ya kazi....tunapata muda wa kufurahia kwa namna tofauti...

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam