Alex underscore ouma
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Alex underscore ouma, College & University, Alex Tz, Dar es Salaam.
27/01/2023
New structure design🌳💚
27/01/2023
Bukayo Saka ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi wa Arsenal katika historia ya klabu hiyo kufunga katika mechi tatu mfululizo za Premier League dhidi ya Man Utd.
Bwana Mdogo wa motoooo
27/01/2023
🎙️Pep Guardiola:
"Wakati Arteta akiwa msaidizi wangu hapa City, alishangilia mabao yote kwa shangwe isipokuwa mabao dhidi ya Arsenal"
"Aliipenda sana Arsenal. Ni k**a uhusiano wangu na Barca. K**a ningekuwa kocha msaidizi na Barca wananitaka, ningeenda, ni klabu yangu pendwa."
Powered by .tz
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Alex Tz
Dar Es Salaam