cbeofficial_1965

cbeofficial_1965

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from cbeofficial_1965, Education, Dar es Salaam.

Photos from cbeofficial_1965's post 27/08/2022

STUDY TOUR.

Second year Diploma in Marketing and Business Administration students from CBE-Mwanza Campus together with their Lecturer Mr. Dismas Nziku visited Coca Cola Company to learn on the Production of the drinks and bottling (preforms).

16/03/2022

HRO's BREAKFAST.

Ndani ya Maabara ya kisasa ya Metrology and Standardization HRO's wamefahamu kiundani juu ya programu hiyo.

16/03/2022

HRO's Breakfast.

Ndani ya Maabara ya kisasa ya Metrology and Standardization HRO's wafahamu zaidi kuhusu programu hii.

14/03/2022

MAABARA YA METROLOGY AND STANDARDIZATION YAKAMILIKA CBE KAMPASI YA DODOMA.

Sasa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dodoma kitaanza kutoa programu ya Metrology and Standardization ambayo hapo awali haikuwepo amebainisha hilo Mkurugenzi wa CBE kampasi ya Dodoma Dr. Kembo Bwana na amewakaribisha wote wenye ndoto ya kusoma somo hilo.

14/03/2022

MAABARA YA METROLOGY AND STANDARDIZATION YAKAMILIKA CBE KAMPASI YA DODOMA.

Sasa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dodoma kitaanza kutoa programu ya Metrology and Standardization ambayo hapo awali Mkurugenzi wa CBE kampasi ya Dodoma Dr. Kembo Bwana abainisha hilo na amewakarisha wote wenye ndoto ya kusoma somo hilo.

14/03/2022

UKARABATI MKUBWA CBE KAMPASI YA DODOMA.

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinafanya ukarabati mkubwa kwenye Kampasi yake ya Dodoma ikiwa na lengo la kuweka mazingira mazuri sana kwa wanafunzi na Wafanyakazi wa CBE.

09/03/2022

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: 08/03/2022

Mama zetu na dada zetu walishiriki katika maandamano yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru DSM. Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'KIZAZI CHA HAKI NA USAWA KWA MAENDELEO ENDELEVU'
CBE OYEEE😀

08/03/2022

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: 08/03/2022

Mama zetu na dada zetu walishiriki katika maandamano yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru DSM. Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'KIZAZI CHA HAKI NA USAWA KWA MAENDELEO ENDELEVU'

03/03/2022

Kitengo cha Ukatili wa Kijinsia kikiongozwa na Mkuu wa Idara ya Ushirikishwaji wa Jamii Mkoa wa Dodoma SSP. Prackson Rugazia wameendesha mafunzo kwa Wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) yenye lengo la Kuongeza uelewa juu ya Usalama na Ukatili wa Kijinsia..

01/03/2022

Karibu umsikilize Makamu Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Tandi Lwaga akizungumza kwenye Warsha ya siku tatu yenye lengo la kubungua bongo na kujifunza juu ya “Apprenticeship and Business Incubation Orientation”.

dodoma



25/01/2022

CBE TAFITI ZETU.

Jinsi ya kupata Tafiti tunazozifanya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) tembelea Website yetu www.cbe.ac.tz.


22/01/2022

Semina ya Huduma Rafiki ya Afya ya Uzazi kwa Vijana na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Ukimwi kwa Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).




Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam